Wakubwa.
Taarifa za kauminika ni kwamba ule mpango wa kuanzisha chuo kikuu cha Josiah Kibira University College (JoKUCo) uliosuasua kwa miaka kadhaa sasa umetimia.
chuo kitaanza na...
eti waungwana kuna tofauti gani kati ya civil engineering,irrigationa and water resources engineering,civil and transport engineering..na je mtu aliyesoma irrigation and water resources...
Cheti cha kidato cha nne cha Haji M.Msoso alimaliza sekondari October 2006- KItomondo Secondary School. Cheti kiliokotwa maeneo ya Buguruni tafadhali anayemfahamu huyu mtu tumsaidie apate cheti...
Wakati nikitaka kuchunguza kama tcu wameshatoa selection kwenye tovuti yao nimekutana na picha na video za ngono, je ni kweli tcu hawana security ya kuweza kudhibiti website yao au ni uzembe wa...
eti waungwana kuna tofauti gani kati ya civil engineering,irrigationa and water resources engineering,civil and transport engineering..na je mtu aliyesoma irrigation and water resources...
Jamani rght on tyme me n best frnd angu 2meandikiwa not eligible koz 2 za ardhi wakat zilikuwa eligible kipind chote...land management and valuatn na buildng survey xote n egm point 13.....post za...
Wanafunzi wa Chuo cha Uuguzi cha Bulongwa kilichoko Wilaya ya Makete mkoani Iringa, wamemuua kwa kumshambulia kichwani mkufunzi wa chuo hicho, Dk. Jumbe Mafingo, kwa madai ya kupinga jaribio...
SHORT COURSE ANNOUNCEMENT ON DATA PROCESSING AND ANALYSIS
(To be conducted in MWANZA)
The Department of Statistics, School of Mathematical Sciences is announcing a short course on DATA...
***** is registered under the companies ACT,2002 in the united republic of TZ.The main objects for which the company is established is to develop,educate,train and equip african women,men,students...
Ni kweli wanafunzi watakaoshindwa mtihani wa kidato cha pili watarudia darasa au watafukuza? kwa maana kuna mwalimu mkuu wa shule moja hapa jijini mwanza amesema mwanafunzi atakayefeli mtihani wa...
Nadhani hiyo attachment inaweza kuwasaidia vijana wanaojiandaa kwa mtihani wa kidato cha sita na wale walioko chuoni especially wanaosoma Engineering. Haya ni baadhi ya maswali yanayotumiwa na...
Tumaini University imebadili rasmi jina lake. Sasa kitatambulika kama Tumaini Makumira University. Pia campus kuu itakuwa Usa River Arusha.
Je, kwa hatua hii ubora wa elimu utaongezeka? Au nini...
kuna course moja wakati wa application ilikuwa na admission capacity ya watu 100 lkn cha kushangaza jana nimecheki wanasema admission capacity ni 66,siyo hiyo tu bali kuna course nyingi admision...
Term of the Day
functional currencyCurrency of the country (called the 'primary environment' ) in which a firm a conducts its business activities and generates most or all of its income and...
Kwa uzoefu nilionao nimegundua ya kwamba wakufunzi wengi wa vyuo hapa Tanzania sio hawajawahi kusomea fani ya ualimu. Kibaya zaidi wanawafundsha wanafunzi kuwa waalimu bora.
Kwa mfano, mchumi...
Naona TCU kuna link mpya for higher leaning institutions na nimelog in imekubali kufunguka lakini mchana ilikuwa inagoma.Nimekuta options zifuatazo baada ya kulog in kwenye hiyo link mpya...