Kama ilivyo ada tunaelewa elimu ndo kila ki2, japo kuna wahun wanasema eti hela ndo kila kitu,ambapo ni SAWA NA MATUSI YA MATAWI DHIDI YA SHINA kigezo menyewe yanaonekana zaidi ila hayana nguvu na...
Kwa wale waliyoomba vyuo mchakato utatimia leo hivyo hadi jioni au kesho mapema selection sitakuwa tayari. Kaeni mkao wa kujua utaenda chuo gani kati ya mlivyochagua
Nilipokuwa nasoma shule ya msingi miaka ya 60, nilisoma kitabu ambacho kilikuwa na hadithi ya Sultani Kipingo. Mojawapo ya sifa za sultani huyo zilikuwa ni ulafi wa kupindukia. Kulikuwa na picha...
Nimelog in kwenye account ya tcu,kwenye ile sehemu ya selection status,nimekuta pameandikwa processed badala ya not yet processed kama ilivozoeleka,na kwenye kila kozi niliyo omba na penyewe...
Wadau,naomba anaeweza kunisaidia kupata mtu/shirika/tahasisi itakayonisaidia malipo ya masomo yangu nayotegemea kuanza mwezi october mwaka huu....nimepata admission ya Mzumbe Dsm campus...
walimu nchini kenya wameanza mgomo wao leo kushinikiza nyongeza ya mshahara kwa 300%,je walimu tanzania mbona kimya vp au mmesha tatuliwa matatizo yenu kimya kimya au mnaogopa kutekwa.
source tbccm.
wanajamvi naomba kujua kuhusu education sponsorship kwa masters na degree kama kuna mtu anafahamu makampuni yoyote au individual source yoyote ya kusponsor watu wenye kutaka kujiendeleza kielimu...
nna division 2 point 10, nimeaply educatoin UDSM bt kuna compeittion sana kuna aplicants zaidi ya 3000 na capacity yao ni 1170. vp hapo nawza kupata kweli
REQUEST FOR PUBLIC COMMENTS BY A TANZANIAN WEB STARTUP IN AFRICAN NEWS INNOVATION CHALLENGE
Gushit is a Tanzanian based contents distribution and engagement startup operated by Jigambe...
Jamani nina kiasi hiki cha pesa $47000 kwanza kabisa ningependa kujua ni sawa na shilingi ngapi? Za kitanzania pili ningependa kuomba ushauri nifanye biashara gani? Kwa kiasi hiki cha pesa...
Sio majungu anaetaka atembelee ajionee kwa macho yake!
Nilicho kiona;
1 Mwalimu mkuu hana uwezo wa kuwatiisha walimu!
2 mwanafunzi kila siku hadi j/ mosi lazima aende na mia4 mia2...
Wadau,
Naomba nifafanulieni kuhusu Certified Copies...Kuna baadhi ya watangaza ajira/kazi hutaka certified copies..Hii ina maaana gani?? Ni original copy iliyopigwa muhuri wa chuo au muhuri ya...
kwa yeyoye anayejua duka linalouza viumbe mbali mbali wanaotumika kwenye mitihani ya biology practical kama vyura n.k kwa dar hapa naomba anijulishe. Nahitaji kwa haraka.
Kama wadau wengine walivyo na hamu ya kujua vyuo walivyopangwa mimi shahuku yangu ni matokeo kutolewa kabla ya 15 August kwa maelekezo niliyopewa ni kwamba chuoni 1st year wanatakiwa kuripoti wiki...