Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wadau mimi ni mkazi wa Kijiji cha Mbigiri Kata ya Magole wilayani Kilosa..nimesoma shule ya Msingi Mbigiri ambayo Mbunge wa Mtera Bw Livingstone Lusinde naye alisoma huko..,Nimeongea na alitekuwa...
1 Reactions
35 Replies
5K Views
. . .Kwa wengi mtakuwa wenyeji wa jina hili Fr.Michael James Snyder. Huyu Bwana alikubwa na kashifa nyingi hasa za kuwalawiti waseminari pale makoko,Alitumia upadre wake kuwadanganya vijana kwa...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Hivi ninavyoandika kuna migomo mizito miwili hapa shuleni Ulayasi wilayani Ludewa. Walimu wanamkataa msarifu wa shule(bursar) kutokana na ubadhirifu uliopitiliza. Wanafunzi wanadai kutimiziwa...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Serikali imesitisha ujenzi wa shule za sekondari za kata, kutokana na kutoridhishwa na kiwango cha elimu kinachotolewa katika shule hizo. Tamko hilo lilitolewa na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ninatoa consultation kwa wale wanaoandika thesis/dissertation kuanzia Bachelor na Master degrees katika masomo ya arts. Consultation hizo zinafanyika kwa internet na simu, hivyo huduma hii...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
hii ni malalamiko ya kwamb vyuo fulan! hutoa gpa kubwa kuliko vyingine na kuzuiwa baaz ya wa2 wa chuo flan kuomba kaz!
0 Reactions
0 Replies
818 Views
Habari zenu wakuu. Kama kuna mtu anajua tarehe ambayo bajeti ya wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi itasomwa anijuze. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kadiri muda unavyokwenda CWT wanazidi kukatisha tamaa.Wamekua wana ongea tu lakini hata kuongea kwenyewe sikuizi hawaongei tena. TZ kwa sasa ipo mikononi mwa CWT. Hii ni kutokana na ukweli usio...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimesikiliza BBC matangazo ya jioni,reporter wao kutoka Dodoma akasema kuwa Bunge limehairishwa baada ya wabunge wa kutoka Zanzibar kutoka nje ya bunge, badala ya kusema wabunge wa kutoka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimeuliza kwasababu nilifanya applications na mpaka sasa sijaona taarifa zozote kuhusu selectiona zao. Kama kuna mwenye taarifa za lini yanaweza toka,kwasababu muda wa kwenda chuo najua unaanzaga...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndugu wanajamii forum , naomba kuuliza kama chuo kimefungwa , kutokana na matatizo, ni taratibu gani zinafuata baada ya hapo? Chuo cha maendeleo ya jamii Mlale kilichopo Songea kilifungwa mnamo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Swal langu ninaomba wana jf mniambie firstclass ,uppersecond,lowersecond na jentomani kila moja zinaanzia ngapi!
0 Reactions
8 Replies
2K Views
kuwa makini kama umefanya udahili maana kuna wa2 wanajifanya wao ni wafanyakazi wa Heslb hvyo wameiba contact za wa2 walioomba mkopo na kuanza kuwaambia ati hawaja2ma cheti cha kuzaliwa na ili...
0 Reactions
0 Replies
963 Views
1. The first computer mouse was invented by Doug Engelbart in around 1964 and was made of wood. 2. Bill Gates' house was designed using a Macintosh computer. 3. As a teenager, Obama took...
0 Reactions
0 Replies
680 Views
Term of the Day equityOwnership interest in a corporation in the form of common stock or preferred stock. It also refers to total assets minus total liabilities, in which case it is also referred...
0 Reactions
1 Replies
812 Views
SHORT COURSE ANNOUNCEMENT ON DATA PROCESSING AND ANALYSIS (To be conducted in MWANZA) The Department of Statistics, School of Mathematical Sciences is announcing a short course on “DATA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
I)Mimi naaamini nimepigwa changa la macho.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
The rules are fairly easy. A mother, a father, two girls, two boys, a policeman and a convict are to cross the river with a boat. The conditions are: The convict cannot be alone with any member...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nauliza jamani mana sisi wa Saut- Mwanza na udom ndo tuliobakia wa mwisho wanatutesa hawa jamaa aghhhhhhh.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
mi mwalimu nataka kumfuata mume wangu anakoishi nimetuma barua ya maombi pamoja na cheti cha ndoa ,kwanza head master ame coment kwamba imepitishwa afikiriwe kupatiwa mwalimu mbadala,nimemwona DEO...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…