Kuna graduate aliitwa Ashura Jumanne Ally,alisoma BED-Biology.Alipangika wilaya Rufiji,tulikua nae kituo kimoja kinaitwa Kazamoyo sec.Amefariki jana jioni katika hospital ya Mchukwi iliyopo...
Mimi nimeitimu A-level 2009 kwa kombination ya PCM Minaki High school,ningependa kusoma doctor of medicime baadaye kidogo,sasa nauliza wana ef nifanyeje ili niwezekusoma biolojia pekee kwani...
jaman,hawa tcu vpi?yani nashangaa muda wakufanya application na marekebisho mengine umeisha lakin cha kushangaza baadhi ya kozi watu wameongezeka.mfano bcom finance ya udsm hadi jana watu waliokua...
Nimerekebisha thread yangu nauliza tena hivi aliyesomea masomo ya dini yake ama dhehebu lake (ktk Uislamu na Ukristo) anaweza kufikia level ya Phd kama ilivyo katika elimu ya kidunia?
Naombe mod...
dakika kadhaa zilizopita, hosteli mojawapo ya wasichana wa sekondari ya morogoro, imewaka moto.... mpaka natoka eneo la tukio, hakuna aliyeripotiwa kufariki, ila mali za wanafunzi zoooote...
wadau na swali kwa ambao mko uko vyuoni kama umechaguliwa course fulani na ukaamuakubadilisha inawezekana kweli...?assume qualification za kubadili hiyo course unavyo!..msaada jamani
Aisee nilikuwa sijui binam yangu alifanya udahili wa kozi ya kwenda kusomea askari magereza alishapita hatua za mwanzo kabisa ni kuingia na kuanza kusoma ila katika kupimwa afya na mambo mengine...
Bweni la wasichana la shule ya
Morogoro secondary linaumgua
moto maeneo ya forest na
chanzo inasemekana ni hitilafu
ya umeme. Fire wamefika na
wanazima na asilimia 80 ya jengo imeungua na...
mm mwalimu s school nimetumabarua pamoja na cheti cha ndoa naomba kumfuata mume wangu kwa maa ya kuhamia aliko ilia nabaniwa na mabosi je nifanyeje naambiwa nitafute mwalimu mbadalanimpereke ndo...
Mimi nimeitimu A-level 2009 kwa kombination ya PCM Minaki High school,ningependa kusoma doctor of medicime baadaye kidogo,sasa nauliza wanajf nifanyeje ili niwezekusoma biolojia pekee kwani...
Hivi kuna nchi ambayo wanafunzi wana uwezo wa kucram kuliko Tanzania, Maana wanafunzi wanameza hata kama page zipo 100. utadhani sala ya baba yetu. Hii ni hasara sana kwa taifa sababu uwezo wa...
salamu wakuu, naomba mnijuze kuhusu hii digrii ya udaktari wa binadamu, je ina classes? maana nyingine huwa nasikia kuwa kuna lower class, first class etc, sasa hii digrii ina haya mambo? kwa...
eti wadau hivi endapo itatokea mmelingana pointi wa2 wengi katika faculty moja kita2mika kigezo gani ili kuwachagua au matokeo ya o level yataangaliwa mwenye wazo pevu ebu funguka basi
nataka kuhama kituo cha kazi kumfuata mume wangu nime ambatanishabarua na cheti cha ndoa cha ajabu DEO ana nambia nipereke mwalimu mbadala ndo nipate kuhama kituo cha kazi naomba ushauri wenu jamani
Sasa hivi kuna uchangiaji katika elimu hasa elimu ya juu. Na kuna baadhi walinyimwa kabisa mikopo kutoka bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu pamoja na kwamba ni watoto wa maskini na wana...