Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

eti wajameni information technology ngazi za cheti hua wanataka uwe na credit ngp za form 4
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau fuatilieni live Interview ya dogo Clouds FM njia panda
0 Reactions
16 Replies
3K Views
nauliza hivi mimi mpaka leo hii selection zangu hazija onyesha kwamba ni eligible or not eligible na vigezo ninavyo je ni kwamba muda bado au kuna kitu nimekosea lakini nimekuwa nikilogi in...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu, naomba mnipe maana ya maneno hayo mawili - Matata na Matatizo. Baada ya kutoa maana, naomba mnsaidie tafsiri ya msemo "Hakuna matata".
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara amemteua Dkt. Selemani Sewangi (55) kuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA). Kwa mujibu wa taarifa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Faqihi mashuhuri kutoka Khurasan alifika Baghdad, alialikwa na khalifa Harun Rashid katika Baraza lake: Wakati alipokuwa akizungumza na Harun, alitokezea Bahlul ambaye naye alikaribishwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Inanisikitisha, je tunaelekea wapi, maana karibu sehemu nyingi tu hasa pale maswali yanapokuwa sio ya kiacademic bali ya maisha ya kawaida na ya kisasa yamukuwa yakiwapiga chenga
0 Reactions
0 Replies
1K Views
BAHLUL NA CHAKULA CHA KHALIFA Siku moja Harun al-Rashid alimpelekea Bahlul sinia iliyojaa kwa vyakula mbalimbali. Mfanyakazi alipomwakilishia Bahlul vyakula hivyo, alimwambia: "Hivi ni vyakula...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani naomba mnisaidie mimi nimeomba chuo mwaka huu kwa kupitia tcu lakini mpaka sasa hivi nikiangalia my profile kwenye selection status inaonyesha not yet processed,inamaana muda bado au ndiyo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Possession of reguired entry qualifications does not guarantee admission into a higher education institution of the aplicant's choice,since all aplicants will be selected on competitive ranking of...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Msaada jamani Ansateni?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Msaada naomba kufahamu mshahara wawalimu wa sekondar
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Natumain ni wazima. Nimekua nikitafakari hili la mwongozo mpya uliozinduliwa juzi na kawambwa. Mtu anaweza kuhama kutoka udsm kwenda cbe, cbe kwenda udom, ifm akaenda dit, Hili limekaaje...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
ukikuta umeandikiwa eligible,tcu wamesema nanukuu "system has verified that you have only meet minimum requirements to apply for that program"so msivimbe vichwa mkadhani ndo mambo tayari,bado kuna...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kutokana na uwezo wa kifedha walionao vijana wetu wa Elimu ya Juu, nawashauri wakusanye nguvu zao pamoja na kuanzisha Benki yao. Ushauri ni kuwa kila Mwanafunzi wa Elimu ya Juu awekeze angalau...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
naombeni elimu ktk hili: BSc(biology),MA(Social science). Inawezekana PhD kusomea tena biology bila kuwa na msingi wa bios ktk shahada ya pili? Tafadhali naombeni msaada ktka hili.
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Jamani huyu mama, ndio amehamishiwa wilaya ya mkuranga kikazi kuwa afisa elimu. Yeah, amekuja na mikakati yake kwa ajili ya kuinua kiwango cha elimu wilaya ya mkuranga! Lakini atambue kuna...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
wana jf naomba mnisaidie jinsi gan ninaweza kusomamasters nje ya nchi? vip ninatakiwa niwe na class gan ktk firstdegree!
0 Reactions
6 Replies
2K Views
siku moja Bahrul alimtembelea Khalifa Harun Rashid, akaombwa kutoa nasaha; Hapo Bahlul alianza: "Ewe Harun! Iwapo wewe utakuwapo porini ukashikwa na kiu ya maji ambayo hayapatikani, huku...
0 Reactions
0 Replies
834 Views
tafdhalini wadau wa JF naaomba muongozo wa taratibu za kufuata ili kuweza ku-renew LESENI ya UDEREVA (Driving License)! yangu inakwisha muda wake na pia ni ile ya zamani so nataka nipate mpya...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…