Hbr wakuu, mm nina second upper class toka SUA, nataka kuchukua master in aquaculture, ombi langu kwenu mnisaidie jinsi ya kupata sponsors, nina maana nisaidiwe tips za kufuata ili nipate sponsors...
Mademu wa Chuo ni wajanja sana wamewapanga Wanaume wa chuo katika makundi makuu matatu kama ifuatavyo..!! Ili kutimiza haja zao za kimapenzi
GROUP1¤Hawa Wanaume ni kwa ajili ya Pesa..siku zote...
Serikali imejitahidi kujenga shule za sekondari hapa nchini karibu kila kata.Lakini kuna changamoto nyingi zimejitokeza ikiwemo upungufu wa waalimu na vitendea kazi(vitabu, maabara n.k).Hali...
Kwa wale wanaotaka kufanya mitihani ya Bodi Nov 2012 .Mafunzo yamesha anza kwa module E&F katika kituo cha Apt Financial Consultant Kwa mkoa wa Dar es salaam na Arusha.
Wahasibu na Wakaguzi wa...
Jana Waziri wa elimu Dk.Kawambwa ametoa mwongozo wa uwiano wa ngazi za elimu hasa degree kati ya vyuo vya umma na binafsi.
Kama kuna mwana JF ameupata naomba atuwekee humu.
Siku moja mfanya biashara wa Baghdad alimwendea Bahlul kwa kutaka ushauri wake. Alimwambia:
"Ewe Sheikh Bahlul! Naomba ushauri wako katika ununuzi wa bidhaa ambazo zitanipatia faida nyingi."...
Iwapo magereza yetu yangeamua kuanzisha program za elimu na iwe lazima kwa kila anaeingia mle, naamini tusingekuwa hapa tulipo leo, maana naona ama kujiaminisha wengi wa wafungwa hujiona wasio na...
form 6 leaver,naenda kusoma prcure,Je after bachelor mitihan ya bodi ipo?procurement audit ni nin?,uwe nondo zaid nin uwe nacho au uongeze kama ziada....TEL ME PLZ.
kuna kozi moja ya sua inaitwa agro-economics and busness,jumla ya wanafunz walio aply ni 3391,ambao wako eligible ni 2896,walio iweka kama 1st choice ni 890.....kazi ipo hapo mwaka huu.
Hawa ndio wanaohusika na kutengeneza Mitihani, kuteua watunzi wa mitihani na kuchagua wasahihishaji.
s/n
SOMO
WARATIBU WAKRISTO
WARATIBU WAISLAMU
JUMLA
1
UALIMU
5
2
7
2
HISTORY
2
0
2
3...