The Tanzania
Commission for
Universities (TCU) in
collaboration with
National Council for
Technical Education (NACTE) has
extended
the deadline for
submission of
applications for the...
naombeni msaada wenu jana saa 4 usiku kabla sijalala kwenye akaunti yangu ya tcu kulikuwa na cheking in progress 5 na eligible 3 lkn leo asubuhi zote zimekuwa not eligible ambazo ni 8 nisaidien...
Habari za Asubuhi....
Napenda kuwatangazia wadau wote yakwamba nafanya kazi ya kuandaa mitaala yaani Competence Based Curriculum Development ambazo zitatumika kwa vyuo vinavyotumia NTA system...
Jamani natafuta mahali wanapofundisha masomo ya professional stage IV & V ya PSPTB kwa mjini Arusha, anayejua anijulisha tafadhali ikiwezekana na gharama zake kwa kila stage
Walimu wa masomo ya sayansi na hesabu(mathematics) wanaofanya semina ya siku kumi 10 katika vituo vya azania na city high school(benjamin mkapa) wanaelekea kususia semina hiyo kwa kile...
Wana jf kwa wale wanafunzi wa elimu ya juu wanaonufaika na bodi ya mikopo, mwisho wa ku update taarifa ni leo 30 June lakin cha kushangaza toka asubuhi website ya bodi haifunguki kabisa...
Mwaka wa ajira uliopita UDOM walituita kwenye interview. Hawakuchagua wenye sifa. Walituita watu wote tulioomba kazi. Matokeo yake kada moja ya nafasi 4 tulijikuta watu zaidi ya 5,000 tulienda...
katika hali isiyokuwa ya kawaida semina ya walimu wa sayansi na hesabu iliyokuwa ikiendelea jijin dsm imevunjika baada ya walimu hao kulipwa tsh 15,000 per badala ya 45,000 per day kama walaka...
Huyu jamaa alikuwa hodari sana wa kufundisha hist_kila aliyekuwa anahudhuria vipindi vyake alikuwa anainjoy sana.alikuwa hana complication za kijinga kama dr mselemu -huyu dr akikuwa kilaza...
Habari, sijui kama kuna mtu ambaye amejaribu kama nilivofanya mimi..
Nimechagua koz nane ila namba 4 na nane zikapigwa Not eligible hivyo niliamua kubadilisha lakini kila kozi ninayoweka kwenye 4...
The brain grew in the body of a German woman in the summer of 1878 in the Swabian Alps of the Danube. The woman lived there with her husband in a medieval city called Ulms. The husband was a...
Kuna mtoto wa ndugu yangu kaja likizo kunitembelea niko magomeni mwembechai naomba kwa anayefahamu sehemu ya kufundisha tution anijuze maeneo ya magomeni
Kwa wamasuaso napenda kuwatakia maandalizi mema ya mitihani ya mwisho wa mwaka wa masomo 11/12 itakayoanza jumatatu tar 2 july, tumwombe mungu atupiganie tuwe wenye afya na pia tuweze kuyakumbuka...
Hivi hii inshu ya remedial couse {samahani kwa spelling, am only human} imekaaje..? Nafahamu wanaitaji principal pass mbili lakini sina uelewa mkubwa wa mambo mengine kama inaanza lini, fee...