Habarini za wakati huu...najaribu kufanya usajili CAS..kwa bahati mbaya napewa jibu hili. Kwa anaefahamu tafadhali tusaidiane.
Failed to connect to server: Access denied for user...
habari zenu wana jamvi....! ushauri/mawazo yenu yanahitajika tafadhalini. ni kwamba kuna jamaa aliniuliza hili swali lakini kwangu likawa gumu kidogo kulijibu ndo nimelileta huku, kuna hizo kozi...
Habari kwamba zaidi ya wanafunzi 4,000 wa shule za msingi na sekondari nchini kote wamekatisha masomo yao kati ya mwaka 2010/2011 kutokana na sababu za kubeba ujauzito kitendo ambacho ni kinyume...
Wadau naombeni msaada kuhusu bachelor of pharmacy ya st john,je ipo compitent,na je chuo kipo katika standard nzuri(enough lecturers,enough practicals)?
nisaidien wadau nipo njia panda
Hii web hainiruhusu kulog-in eti ninakosea passwd au username, tatizo limeanza leo, nataka kufanya mabadiliko kwenye kozi zangu bt i cnt.. Kuna mtu mwenye clue anisaidie..nashukuru
Matokeo ya china katika mitihani ya kimataifa shuleni, ambayo haijawahi kuchapishwa, ni ya kuridhisha saana. Hii ni kauli ya Andreas Schleicher, ambaye anahusika na mitihani ya kimataifa ya...
Leo imeripotiwa kuwa mtihani wa Mathematics kwa Form IV umehairishwa kufanyika leo kwa sababu umevuja na utafanyika jumatatu ijayo. Hii ni habari mbaya kwa vijana waliojiandaa kufanya mtihani leo...
We often hear of people complaining of poor quality of education at college/university level in Tanzania. There are many factors contributing to this problem.
One of them is forging academic...
Shule inayofahamika sana mjini arusha kama arusha morden school. iliyoko eneo la kisongo imeuzwa sh bilion 4 katika kanisa katoliki mkoani humo.akizungumza katika ibada ya misa takatifu katika...
Naomba msaada wenu wana jamiiforums kuhusu Bsc. in Land Management and Valuation na Bsc. in Building Surveying.
Pamoja na kwamba kuna tatizo la ajira Tanzania lakini nilitaka msaada wenu wana...
Kumekuwa na tetesi kuwa kesho jmosi doktazi watagoma,lakini hivi punde tu waheshimiwa wenye dhamana wamewapa unafuu wa jambo lao.Ikumbukwe kuwa doktazi are PCB'S (physics,chemistry & biology)...
wale wanye tafit zao zisizokuwa na vyanzo, angalieni
hawa walimu wanadalili zote kugoma kwa kuwa sasa wanaperform
mambo yao kikanda, kigoma, kanda ya ziwa, kanda ya kaskazini
pwani nk...
Hebu tizama tofauti hii ya kutisha ya viwango vya mishahara kwa watumishi wa umma wa tz. Ajira mpya ngazi ya cheti: mwl 244,400/= afya 472,000/= kilimo/mifugo 959,400/= sheria 630,000/=. Ngazi...
CHUO Kikuu cha Mzumbe cha mkoani hapa kimesaini makubaliano pamoja na vyuo vingine vitatu vya nje ya nchi wa kuendesha kozi ya Shahada ya Pili ya Utawala na Menejimenti kwa watumishi wa sekta ya...