kwa wale wanaohitaji msaada wa mathematics, au kama una mtoto wako,ndugu yako mwambie atumie hii website, ni nzuri sana.
kuanzia wa secondary mpaka university, ina kila aina ya mahesabu...
wakuu,niliapply kwenye cas-tcu,lkn nimekuta kozi nilizowekewa eligible ni bcom-finance ya udsm,economics-udsm na agro-economics ya sua na kila nikijaribu kubadilisha baadhi ya kozi nilizowekewa...
naomba mweye kujua mahali ninaweza pata kitabu cha A comprehensive Grammar of English Language by Randolph Quick, Sidney Greenbaum, Geoffrey Leech kwa kununua
Jaman mimi niliaply Dsm journalism ya kwanza na mass com ya 2 na zote nili qualify(eligible) ila baada ya kuuliza kuhusu izo coz nikaambiwa zipo nje ya compus na kama coz ilikuwa ni non-priority...
Wadau naomben tofauti ya ivyo vitu viwil au ukipata 0% unapata ela ya chakula lakin fee aupew na no loan hauna vyote,anaejua anifaamishe na wengine wacofaham
katika selection zinazoendelea Tcu pamoja na kuanzaj kwa mchakato wa kuonesha qualified na not qualified lakini kwa nini kila alieomba udom hajafanikiwa?
Ni ukweli kuwa sasa english imekuwa lugha ya dunia,
ni bahati mbaya tumejifariji na kiswahili na kushindwa kuwapa watoto wetu helimu nzuri hasa uwezo wa kuongea english kwa ujasiri kama...
Wandugu p0leni na majukumu...
Kwa yey0te anaye weza kunipa msaada ktk swali hili afanye hivy0 tafadhali...
''If an aqueous solution boil at 100.5'C, at what temperature does it freeze? (For...
Heshima mbele wakuu, mwakani nataka kumpeleka shule Jr.
Kwa sasa natafuta shule ya awali na msingi, Morogoro, Arusha, Iringa,Mbeya, Mwanza, au Dar (spendelei sana dar)! Kama ni nje ya Tanzania iwe...
Ni ishara na uthibitisho wa ufisadi.Ni pale Chuo Kikuu cha Dodoma almaarufu kama UDOM.Fedha kwa ajili ya mkopo wa ada kwa wanafunzi waliomaliza chuoni hapo mwaka jana zimeyeyuka.Wanafunzi hao...
Ndugu wana Jf husika kichwa cha habari hapo juu.
Tumeweza kushuhudia migomo kadhaa ya wanavyuo mbalimbali hapa Tanzania kiklwemo chuo cha UDOM.
Miezi kadhaa iliyopita palitokea mgomo kakatika...
Jamani wanajf wenzangu kwa wale waliosoma BVM au wenye uelewa juu ya hii kitu,tukizungumzia hali ya kitabu chake and future prospectus meaning value yake pamoja na maslahi (no jokes),asanteni!
:hand:Wana JF; Binafsi nimesikitishwa sana na Bajiti ya Mheshimiwa Dokta......... ambayo haikuzingatia kuwa kuna watu ambao ni walalahoi pasee! Angalia inavyotaka kodi iongezwe kwenye mawasiliano...