Ni siku ya nne leo maji hayapatikani udsm, kweli mambo hayaendi, vyooni na hakuingiliki!
Shukrani hata kwa haya maji ya clean water yanayoletwa.
Najua na ndugu zetu wengine waliopo nje ya Udsm...
TCU wametutumia mesej kuwa kama una koz uliomba ukakuta hau-qualify unaweza kufanya mabadiliko. Chakushangaza hamna hiyo option ya kufanya mabadiliko au kuongeza program code, wadau kama kuna...
Wakuu,
Habari za siku nyingi wale wote mliosoma katika shule yetu ya TOSAMAGANGA mkoani Iringa.
Kama wadau wakuu wa Tosamaganga, naomba tuanzishe TOSAMAGANGA INVESTMENT GROUP ambapo lengo kuu la...
Celal Şengör claimed in the program that human beings' ancestors were primitive, cave-dwelling creatures. This is the "stone age" deception put about for many years in order to be able to...
Katika hali ya kusikitisha serikali imetenga kiasi kidogo cha fedha kwa bajeti ya 2012/2013 kwa ajili ya chuo kikuu cha Dodoma. Imebainika kuwa Tsh. 175 million zimetengwa kwa ajili matumizi...
naomba kuuliza,sisi tuliofanya application kwa kutumia mfumo wa cas-tcu tumekuta baadhi ya programs tulizo zichagua zimeandikwa pembeni yake not eligible au not qualified na wkt huo huo tumetimiza...
Hivi km umeaply tcu na haujaaply vyuo vingine na ikitokea hujachaguliwa utafanya nini wakati muda wa kutuma maombi ktk vyuo vingine utakuwa umekwisha,,,,
Round off 324 589 to the nearest thousands.
Kuna vitabu vipya vya form 1 ambavyo vimenichanganya. Wanadai kuwa,'if the digit immediately to the right of the required place value is exactly...
ndugu zangu nimesahau password ya TCU
nataka ku loggin nicheck kama nime qualify ama nimedisqualfy vyuo ambavyo nlifanya chaguzi
NAOMBENI MSAADA WENU TAFADHALI
mimi nasoma kozi hii "bachelor of accounting in public sector accounting finance and investigation" pale mzumbe university hivi kweli ina soko!!? na je naweza nikafanya kazi katika private sectors??
Hbr wana jf wooote!!
Natumain mpo poa kabisa! Ok nianze moja kwa moja na maada ambayo imenileta hapa.
Kuna hk chuo kipo maeneo ya ubungo plaza, tumeskia matangazo yake sana hasa redio clouds...
tembelea tovuti ya www.tihest.org for clinical medicine certificate and diploma opportunities Pia diploma in health information management and finance. Ukiwa na swali uliza kupitia email ya institue.
Si maneno yangu.Ni maneno ya mwanafunzi wa mwaka wa nne wa Shahada ya Kwanza ya Uhandisi-Chuo Kikuu cha Dar es Salaam anayemalizia masomo yake ya miaka minne chuoni hapo.Mwanafunzi huyu aliwahi...
Ni yule aliyetuonyesha website za kujipatia elimu ikiwemo pia Khan Academy, sikumbuki alikuwa ni nani lakini popote ulipo pokea shukrani zangu za dhati, na endelea na moyo huo.
Nimesoma mambo...
Natoa pongezi kwa shule ya sekondari makongo imetoa wengi kimichezo na kitaaluma,hawa wamesoma makongo.kaseja, pawasa,kalala junior,bambo,marehemu chifupa ,jose mara,nk.jamani makongo mbona...
eti bcom ya udom ni nzuri kweli,ukiilinganisha na ile ya udsm?walimu wa kutosha wapo kweli,na mtu ukigraduate kuna uwezekano wa kupata ajira?ni hayo tu
Wadau nisaidieni ,mdogo wangu amemaliza form six na kupata division 2,alichukua PGM na lengo lake ni kusomea urubani wa ndege,nijuzeni vyuo vinavyotoa taaluma hii hapa Afrika na Ulaya ili niweze...
Wanajamii.
Nina diploma ya accountacy. Nataka soma wasomo ya Bodi ya Wagavi. Lini wanarejista na wapi? Nitaanzia module gani? Naomba julishwa na ushauri pia.