Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

why kwaniin hili somo wa2 weng sana wanalichukia
2 Reactions
35 Replies
5K Views
Ukitembelea tovuti ya Necta utakutana na tamko la Matokeo ya kidato cha 6 -2012. Bila Waislamu kushtuka ina maana hawa watoto ndo ilikuwa imetoka. Natoa pongezi kwa kikundi hicho cha Waislamu...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
......
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Hello wanajf ninapenda kuuliza eti kozi ya biotechnology and genetic engeneering inalipa na ajira zake ni kama zipi?
0 Reactions
1 Replies
918 Views
Kumekuwa na tabia ya kuwapa wanachuo suspensions zisizokuwa na kikomo,ndani ya barua zao utakuta wameandikiwa kuwa hawatakiwi kuonekana maeneo ya vyuon hvyo mpaka wapewe taarifa zaidi,(further...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau naskia deadline imeshapita. Ila je hakuna njia yoyote ya kufanya ili nipate nafasi ya kusoma masters hapo muhimbili. Ideas will be greatly appreciated.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Education continues to take the biggest chunk of the budget. Ms Kiwanuka allocated Shs1,669 billion to the sector (or 17 per cent of total budget). This is an increase from the Shs1,418b...
0 Reactions
0 Replies
622 Views
Heshima kwenu wakuu! Nauliza mwenye ufahamu na Program ya MA DEMOGRAPHY udsm, vipi admission capacity ikoje na pia mwenye kuwa na details zaidi anijuze, niliapply lakini ningependa kwa wenye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana jf katika kutafakari timbwili timbwili za elimu ya awali nashauri, UDSM irudishe utaratibu wa zamani kwa wanafunzi wote wanao chaguliwa kuanza shahada ya kwanza kufanya mtihani maalum kwa...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
poleni na majukum wana JF wenzangu mimi nimemaliza kidato cha nne nikapata division four ya 30 nimekaa nyumbani mpaka nimechoka maisha magum imebidi nitafute chuo nisome chuo cha nurse biology...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau, Nimepewa zawadi ya lap top na mzungu!! Mwenyewe anasema ni high profile lap top. Hivi lap top inawezaja kunipa ulaji au mihela hapa mjini...can i make a living out of it? Naombeni ushauri...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu, Taasisi ya READ & WIN IVESTMENTS ya Kerege, Bagamoyo, inakamilisha masuala ya msingi kabla ya uzinduzi wa mpango uliotajwa hapo juu. Kupitia mpango Huu wa SHIKA KITABU ndoto kuu ni kuona...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
:glasses-nerdy: Kama waheshimiwa Wabunge wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wanalipwa Sitting allowance ambayo ni tofauti na Mshahara, kwa nini Waalimu nao wasilipwe Standing allowance...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Makaratasi huwa ni mengi ya kusahihisha somo la uraia/civics kwenye mitihani ya kitaifa ya sekondari, General study (GS) kwa sekondary ya juu (High School) na development studies kwa ngazi ya...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari zenu wana jf.poleni na majukumu .mimi ni mkazi wa dar es salaam natafuta chuo kinachotoa mafunzo ya utengenezaji nyele na urembo kwa ujumla.nimeshaenda veta wameniambia wanachukua intake...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
nataka kwenda kusoma masters, sasa waungwana nauliza naweza kupata student visa ya usa au canada bila ya SAT, TOEFL na GRE ?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Does any one knows the online merchant account host company in Tanzania?. Please share with me here. as Pay Pal can not allow Tanzanians to receive payment, what the other company?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
....life is fully of endless suprises,so you just open to your heart and embrace them...best of lucky to you all guys.
0 Reactions
25 Replies
3K Views
BARAZA la Chama cha Walimu Nchini (CWT), limetoa siku 30 kabla ya kutangaza mgogoro na serikali kwa madai kuwa imeshindwa kuteua baraza la majadiliano la sekta ya elimu ambalo lingeweza kujadili...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hivi na walimu wanasubiri kitu gani? hali si swari kwa madokta, si swari pia kwa walimu, je wafanye nini waamke?
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…