Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Tembeleen account zenu,mgodi ushatema.over
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ikiwa leo ndo siku ya mwisho ya boom kuwepo mifukoni mwa wanachuo wa udsm, hakuna hata chembe ya tetesi ya siku boom la pili litakapo toka. Hii inamaanisha kuanzia kesho jumatatu wanachuo washinde...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Wanasiasa na wanaojiita wanazuoni wa kiswahili msitudanganye hata kidogo juu ya hadhi ya kiswahili.kiswahili ni lugha ndigi sana na ambayo kwa namna yoyote ile huwezi kuilinganisha na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau sijafika levo ya chuo,ila nimekua nikisia mara undergraduate mara postgradute lakini sielewi ipi ni tofauti ya hayo maneno.Mwenye kujua naomba anisaidie.
0 Reactions
4 Replies
5K Views
hii wadau,,naulizia ni wapi naweza pata au wanapoouza computer video tutorial on the following subjects 1.oracle 10g and 11g trainining dvd 2.ccna training video 3.micosoft exchange server 2003...
0 Reactions
0 Replies
973 Views
Kuna hizi college km learnit na FTC, wanasema kuwa wanatoa vyeti kutoka uingereza, yani they are accredited, cheti cha masomo ya business ni ABE Association of Business Executives, course yake ni...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu JF Hi My background is from sociology BA,naombeni ushauri wenu,nahitaji kujua ipi bora kati ya MA in Rural development from sua, na MA Development Management from Udsm,Katika labour...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Ndiyo wakuu ! Nimekuwa nikisisimka na kusikia baridi pale serikali inapo piga marufuku siasa vyuoni. Je kwa ushahidi huu nikisema nyani haoni kundule ntakuwa nimekosea? Mwaka juzi rais wa chuo...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wakuu JF Hi My background is from sociology BA,naombeni ushauri wenu,nahitaji kujua ipi bora kati ya MA in Rural development from sua, na MA Development Management from Udsm,Katika labour...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanafunzi wa Shule ya msingi Korotambe wilayani tarime wanauziwa penseli ya shilingi 300 kwa shilingi 1000, mwenye biashara hiyo ni mwl elizabeth joseph, huwa anawafunua watoto wa kike kama hawana...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Because Kiswahili is spoken both as a first and second language, you may hear different pronunciation. However, there is a set of vowels and consonants that are crucial for your pronunciation...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
...wa kike na wawe na at least first degree. Anaemfahamu japo mmoja ANI-PM tafadhali. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
MADA: VIJANA NA MUSTAKABALI WA TAIFA (TANZANIA). TAREHE: 26/04/2012 MUDA: SAA TATU ASUB - SAA TISA ALASIRI. MAHALI...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Jaman ambao mpo vizuri kwenye ngeli naombeni msaada hapa! Je kuweka "ki" na "wa" uzungumzapo kingereza ni sahihi mfano 1."I speak kiswahili" 2."wasukuma is the tribe found in northern Tanzania"...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
mgomo wa nukia chuo kikuu makumira kutokana na ungozi wa chuo kutaka kuwajeuza wana chuo kuwa mtaji baada ya kuanzisha ulipaji wa lazima wa Tsh 60000 za matibabu kwa kila mwanafunzi kwa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Hatimaye,wanafunzi kwa mamia waliokuwa na kesi dhidi ya Chuo Kikuu cha Ardhi,Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Mwanasheria Mkuu wa Serikali wameshinda tena kesi yao.Kesi hiyo,ambayo ni ombi dogo,ni...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Hiv hii shule kimazingira ya kiufundishaj kuanzia uwepo wa waalim,na nyenzo zingine za ufundishaj ziko vip??na vip kuhusu mazingira yana ushawish?na maisha ya pale kwa ujumla?nimechaguliwa hapo A...
0 Reactions
30 Replies
9K Views
Wadau kama kuna mtu mwenye cv ya waziri wa afya tafadhari atuwekee ili tuweze kujua, kwa kuwa kuna tetesi kuwa Mh. rais amedanganywa juu ya elimu ya huyu mh mponda
0 Reactions
105 Replies
20K Views
Je, management ya mwalimu inafanywa na wizara ya elimu au pale wilayani? Nimefungua pdf ya waliochaguliwa 2011/12 na mwajiri inaonyeshwa kuwa ni either MKURUGENZI MANISPAA, MKURUGENZI MTENDAJI...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wadau, mie nilichaguliwa kidato cha tano shule ya machame sasa mzazi wangu amejaribu kunitafutia uhamisho kwenda jagwani kwasababu ya afya yangu[nina pumu]na pia umbali wa shule , sasa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…