Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

CHUO KIKUU DAR ES SALAAM (UDSM) KIMEONDOKEWA NA PROFESSOR MUTAKYAHWA NGULI WA MIAMBA Kwanza poleni sana wanajumuiya ya Chuo kikuu cha Dar es Salaam kwa kupotesa mtu muhimu kama huyu, ni wazi...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
1.Nini tofauti kati ya hizi programmes mbili? "Bachelor of Education in Science"na "Bachelor of Science with Education" 2.Nini tofauti kati ya "University College,University na Non-University"...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani ningependa kujua details za Minaki in case of enviroment kwa anayeijua. Na pia kwa wale wanaosoma hapo, au wenye taarifa shule inafunguliwa lini ningeomba mnijuze.
0 Reactions
25 Replies
7K Views
Hivi kweli kuna humuimu kwa wanafunzi wa kidato cha nne kulipia pesa za kufanyia mtihani wao wa kuhitimu? serikali inataka mwanafanzi wa kidato cha nne kulipia 35,000/= kama pesa ambayo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wale waliosom Earth Sciences yaani Geolology, mining na mineral processing engineering Mlimani watakuwa wanamfahamu Prof Mutakyawa, kwa wale wenye taarifa za karibu naomba watupe taarifa...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Ukweli ulio wazi shule hizi hazina waalimu na maabara sasa ili kupima uelewa wao kwenye mitihani ya mwisho f4 napendekeza wawe wanatungiwa mitihani yao ambayo iwe tofauti na shule za mission au...
0 Reactions
0 Replies
990 Views
Wadau wenje kaonesha njia on participatory approach in development,wananchi walikua wengi sana,nlikunwa na ile style,mlemavu mmoja kaja kwa baiskeli yake na kuku wake wa skukuu ambae aliomba...
7 Reactions
27 Replies
3K Views
3 2 wakuu msaada tafadhali jaza jedwali hili kila column jumla iwe 9,na kila row jumla iwe 9,usirudie namba! pia diagonally jumla iwe 9.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani napenda kuuliza hivi vyuo hutoa mtihani ambao hawakuchaguliwa direct hufanya ili kujiunga swali langu ni Je watakao faulu huo mtihani wanakuwa chini ya serikali au awanajitegemea.........
0 Reactions
3 Replies
2K Views
BONYA HAPA KUWAJUA VIZURI VIFARU WEUPE Africa | Facebook Scientific Name Ceratotherium simum Common Names Square-lipped rhinoceros Classification Close Relatives The African rhinoceros...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa ambaye kishapata taarifa za kujiunga na mzumbe high school au mwenye namba yao. Siku njema.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tumeshuhudia matokeo mabovu ya kidato cha nne miaka miwili mfululizo, 2010 na 2011. Haya ni matokeo ya siasa uchwara katika mipango ya elimu. Ni wanasiasa wanaoshawishi au kulazimisha mipango...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
wakuu napenda kuwatangazia rasmi kuwa kitabu cha somo la economics kwa advanced level katika syllabus mpya kimekamilika. Tafadhal, kwa mawasiliano tuwasiliane kwa simu namba 0767122662 au 0654047387
0 Reactions
3 Replies
18K Views
Kwa miaka ming sasa, mambo yamekua hayaendi sawa ktk hii fani ya UALIMU, ualimu sasa umekua n kama kapu la kutupia uozo wa kila namna, dharau, dhulma na matusi, huku chama cha walimu, ambacho n...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau, Natafuta partiner ambaye amesajili chuo cha Uandishi wa Habari (Journalism). Nipo sehemu nzuri sana ninauwezo wa kupata wanafunzi zaidi ya 50 na mimi mwenyewe ni mwalimu nikawafundisha...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
The age of men.. It is now accepted that the world is in a new geological period - called - Anthropocene. This simply means the age of man's influence into the global ecosystems, biodiversity and...
0 Reactions
0 Replies
739 Views
kiukweli nashangaa sana bodi ya mikopo ya elimu ya juu kwa maana kama mtu ni emloyeed na government unashindwa nini kumpa mkopo halafu uanze kukaata on the spot ili hiyo hela iweze kuwasomesha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habari zenu wanaJF nilikuwa naomba mniambie nisomee nini ili nipate kazi nzuri lakini mimi ni mtu wa ECONOMICS
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wajumbe wa baraza la wawakilishi wamepitisha mswada wa sheria wa Kuunda baraza la Mitihani Zanzibar. awali Jina lililopendekezwa na waziri wa elimu wakati wakiwasilisha mswada ilikuwa ni Kuanzisha...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…