Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

NA: ERNEST BONIFACE MAKULILO (MAKULILO, JR.) CALIFORNIA, USA Ufuatao ni muendelezo wa hatua za kufuata ili mtu uweze kupata udhamini wa elimu ya juu ughaibuni. Na katika wiki iliyopita tuliona...
0 Reactions
14 Replies
8K Views
UDAHILI vs. UDHAMINI Na: ERNEST BONIFACE MAKULILO CALIFORNIA, USA Kumekuwepo na sintofahamu kwa watu wengi katika dhana kuu mbili, Udahili na Udhamini. Sintofahamu hii imepelekea watu kuanza...
0 Reactions
4 Replies
14K Views
REMINDER NOTICE TO ALL LOAN BENEFICIARIES WHO HAVE NOT STARTED TO REPAY THEIR HIGHER EDUCATION STUDENTS' LOANS The Higher Education Student' Loans Board (HESLB), hereby notifies all loan...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
mimi nataka kubadili jina langu na nataka nitumie jina langu la ukweli na picha yangu mardadi kama mtoto wa kike hapa JF make pia nataka kupata mume,hivyo basi nielekezeni namna ya kubadili hili...
0 Reactions
2 Replies
878 Views
Course work hazisomi kabisa,paper zenyewe znakuja kikushoto kushoto..nahc mwaka huu lazma ntacheza mechi za ufunguzi hapo mwezi wa 9.
1 Reactions
23 Replies
3K Views
jamani naomba kuwaeleza wale woote waliokosa ajira (especially) shahada, waangalie majina yao kwenye website ya moe.go.tz source MOE.GO.TZ
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwakuwa watoto wao wanakwenda hizo St nini sijui na Academy gani sijui hili kwa Waziri hawoni shida kulitamka kwenye majukiwaa na kugeuka kuwa sera. Mahesabu yake hayasomeki kabisa maana hata...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mimi binafsi sijafurahishwa ni haya mambo ya kuendekeza ukoloni. sikatai watoto wetu kufundishwa kingereza, lakini hii ya kuwafundisha kuimba wimbo kwa kingerrza napingana nayo. unamfundisha wimbo...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Tanzanian 50 years Independence Scholarship 2012 for Masters Courses, UK : 2012 2013 College Scholarships, PhD Scholarships, Postdoctoral, Graduate International Scholarships Fellowships
0 Reactions
0 Replies
812 Views
Wana JF naomba mwenye CV ya makamu wa rais mr. Bilali aiweke adharani bs kuna kuna habr ambazo kwangu mm bado ni tetesi kuwa mkuu huyu ni Dr. wa mambo ya kemikali na sana kwenye teknolojia ya...
0 Reactions
112 Replies
11K Views
jamani ee,nimepangwa kituo cha kazi ya ualimu ileje mbea,afu mie spataki,kama kuna anaedhani anaweza akafanya kazi kule tubadilishane basi wandugu.
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Habari wanaJF?..mi ni mwl mpya(graduate) nauliza hv unaporipoti kituoni ndo unapewa hela ya kijikimu(siku7)pamoja hela ya mizigo(tani kulingana na km),napata siku hiyo hiyo? msaada tafadhali!
0 Reactions
1 Replies
797 Views
Hiv nikweli uchakachuzi wa mitiani ndio uliosababisha kuchelewa kwa matoke ama kuna namna
0 Reactions
2 Replies
2K Views
jaman hawa necta mbona hatuwasomi maana mpaka leo hatujui hatma yetuuuuuuu tupen na tujiskie huru
0 Reactions
5 Replies
3K Views
leo tarehe 28 mida ya sa 1 ucku...nimekaa home ghafla nje naskia kelele...nauliza nn?!jibu nililopata results 4m 4 tayr...kabla cjakurupa wana jf na wanaskonga em nambieni pana paukweli hapa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Yadaiwa kuwa kutokana na uchakachuzi, matokeo ya kidato cha nne yatachelewa. Inasemekana kuwa matokeo hayo yanachakachuliwa kutokana na kuwa mabaya kiasi cha kutisha ambavyo ingeweza kuleta aibu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Matokeo kidato cha nne mbona haieleweki ni lini, mara walisema ni tarehe 16/1 sasa wanasema ni tarehe 14/2; huku si ndiko kuchanganyana jamani? Tafadhali sana NECTA muwe static.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
TANGAZO KWA WANAFUNZI WOTE WALIOWAHI KUFUKUZWA VYUO VIKUU NCHINI TANZANIA. Awali ya yote, tunapenda kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema, ambaye amekuwa nasi katika harakati za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bill Gates predicts that 5 years from now(2010) on the web you ll be able to find the best lecture in world,better than any single university. True or false?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nawatakia wanafunzi wenzangu wa IFM ,maandalizi,na mafanikio mema ktk mithahan inayoanza kesho j3. Cha muhimu ni kukomaa na ulicho nacho kichwani,other materials ni hatari saaaaana kama mnavyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…