imekuwa ni kipindi kirefu swala la UDOM kujiunga na kuwa accredited na NBAA likufuatiliwa lakini kila wakati tunapewa ahadi hewa zisizotimilika..
sasa najiuliza kuwa je ni chuo ndio wazembe?
je...
Jengo kuu la utawala udom wafanyakazi wake wamekutwa na sintofahamu,baada ya chumvi ya kuweka kwenye mboga kumwagwa milangoni na kwenye makorridor huku kukiwekwa alama ya msalaba,haijulikani ni...
:bange::bange::bange:Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu Tumaini University-Iringa,fani ya BBA(Human resource). Ukweli inasikitisha sana na inaumiza sana tunayotendewa sisi wanafunzi.
Angalia...
Hivi madeni yote ya Walimu yamelipwa Mwezi Januari kama Naibu Waziri wa Elimu alivyotamba? Mbona Walimu wengi wanaodai malimbikizo ya mishahara hawajalipwa?
Ni jambo la kushangaza kwa Serikali inayojiita Sikivu huku ikiwa inayumbisha Raia wake kila Kukicha. Mara leo utasikia hakuna Mitihani tena wa Taifa kwa S.T.D IV au FRM II Mara hakuna kulipa Ada...
ERNEST BONIFACE MAKULILO (MAKULILO, Jr.)
(Nimekuwa naandika makala kwenye gazeti la Jamhuri ambalo linatoka kila siku ya Jumanne. Hii ni makala yangu ya kwanza kutoka kwenye gazeti hilo. Hadi...
mm ni mwalimu nimemaliza bachelor's degree UDSM main campus,nimepangwa sumbawanga manispaa nahitaji kubadilishana na mtu yeyote aliyepangiwa tanga,dar,arusha. piga 0763163677
Habari wana JF
Mimi napenda sana nije kuwa mwandishi mkubwa sana wa makala, napendelea kuandika makala juu ya mazingira na jamii na napenda makala nitakazotoa ziwe zimesimama kweli kweli...
Jamani Can u imagine eti PESA ya mtihan wa TAIFA (NECTA) form 4 imerudishwa kwa hiyo mzazi ataendelea kumlipia mtoto wake mtihan huo Tsh. 35000/=
yaan kiufupi mwananchi wa kawaida anaendelea...
Wakuu nipo kibandani kwangu nafanya vishughuli vyangu huku nasikiliza karedio kangu.Kama mjuavyo wadau,sisi wazee wa enzi zile huwa tunapenda kusikiliza miziki ya enzi hizo.
Basi ilipotimu saa nne...
Tumewahi kusema sana kuwa Serikali ya kisanii ni hatari katika
kuendeleza mfumo wa elimu hapa nchi.
Ni takribani miaka mitatu prof. Maghembe alisimama kwa mbwembwe na kulitangazia taifa kuwa...
Hello wadau
Nimemaliza VETA third year Auto Electric course na nimefaulu vizuri. Always huwa nataka kufanya kazi as Caterpillar Operator au Engineer to begin with, in any industry but mainly...
Ndugu wadau mlioko jikoni, naomba kuuliza ni kwa nini hamjawapangia vituo walimu waliomaliza shahada ya Elimu katika Chuo Kikuu Cha Tumaini tawi la Makumira? Nimejaribu kufungua files zote hakuna...
Wadau naomba msaada kwa mtu anayefahamu chuo kizuri kinachofundisha basic driving kwa kiwango kizuri nina mwezi mmoja tu wa likizo niwe naweza kuendesha gari ili niweze kufanya kazi zangu vizuri...