Ufundishaji wa Masters of Business Administration(MBA),Tumaini University unatia aibu sana. Utakuta mwanafunzi hana uwezo wa mathematics, alikotoka kote masomo ya mathematics kapata "F" a.k.a...
Ndugu wanaJF, nimekuwa nikisikia kauli za viongozi mbalimbali wa serikali wakidai kila mtoto aliyechaguliwa kwenda sekondari lazima aende "hata kama hana nguo, viatu au ada." Nijuavyo, mbali na...
Hellw wanajamvi,vijana wa st augustine university(mwanza) wanaanza mitihani yao ya kumaliza 1st semester leo tar 23 jan,ve a best of lucky 2 all SAUT student!
tafadhali naomba yeyote mwenye softcopy ya MSC301,kama sijakosea,course inaitwa design and implementation of information systems,naomba atume kwenye mail hii snochet@zoho.com .natanguliza shukrani
Joseph Rutakolezibwa Mutahangarwa was born in a chiefly family in Kiziba in the Kagera region. He was the first Tanganyikan to complete the medical course at Makerere in 1940. He arrived in Dar es...
Ninataka kuchukua kozi ya masoko inayotambulika ulimwenguni katika ngazi ya Uzamili kwa njia ya masafa. Nimepata Kituo kinachoendesha masoma haya kutoka Kenya.
Kwa ujumbe huu, ninawaalika...
Leo undergraduates wote tunategemea kuanza mitihani ya kumalizia muhula wa kwanza. Wanajf nawaombeni mtukumbuke kwa maombi.Mwisho nawatakieni wenzangu wote mitihani miema japo 2nafanya kwa huzuni...
InfoBridge Group of Companies establishes the Mugerezi Spatial Technology MUST College with the main goal of providing vocational education and training to enable young people and adults to get...
Kuna watu wanasema kuna kata nyngne zpo wilaya ya kinondoni lakn n ngumu kufikika kirahisi, nisaidie n kata gani naweza kuwa karibu na magomeni.
Nb:-kw wenye moyo wa kusaidia tu.
Habari wana jf, mimi nimebahatika kupata admission ya masters in water resources management - netherland. nahitajika kupata sponspor ili kujiunga na hiyo course, nisaidieni links za sponsors...
nina assignment muhimu nimegoogle na discussion bado hakijaeleweka swali ni hili discuss what appears to be central theme to all religions and how it contributes in the construction of a society
Kwa mwl shahada aliye tayar naomba tubadilishane kituo ie.Muleba District atapangiwa shule nzuri tu ya A level mazingira ni safi huduma zote za jamii zipo!..ni PM
Habari njema kwa watanzania wote. Kampuni ya Young Master Supplies & General Enterprises inakuletea training DVD ambazo zitakuwezesha wewe Mtanzania kuweza kujifunza kutumia computer au program...
kwa wale tulio pangwa serengeti mara mi mmoja wao tuwasiliane hapa. na yeyote mwenye kuijua vyema atusaidi ili tuende tukiwa na (prior information) na je ni kweli kuwa kuna maeneo wanyama hatari...
Kwa kweli mzumbe maisha ni magumu sana {kitaalumu},maisha ya uku ni mchaka mchaka!!idadi ya test kwa wiki kwangu mimi naiona ni kubwa sana,yaani unakuwa mpaka na test 4 au 5 kwa wiki.
Vyuo...
Published On: Mon, Jan 23rd, 2012
Tanzania | Published On: Mon, Jan 23rd, 2012
Education and Vocational Training minister Shukuru Kawambwa
Thirty-seven Tanzanians pursuing doctoral studies...
ONGOZI wa Chuo Kikuu cha
Dar es Salaam (UDSM)
umewarejesha masomoni
wanafunzi 40 kati ya 43
waliosimamishwa na
kuhojiwa kuhusu uchochezi wa vurugu na migomo chuoni
hapo kwa kuwa hawana...