wanafunzi hao wameonekana kwa warden wakichukua magodoro yao na na kuelekea hostel tayari kwa kufanya UE jumatatu..
Viongozi hao ni pamoja na wenyeviti wa mahall..
Swali ni je wamerudi jumla...
Kwema wanajamvi?
Kama kichwa kinavyojieleza, nilipokea ujumbe kutoka ofisi ya Mshauri wa Wanafunzi saa 3 hivi asubuhi, ikinitaarifu kuwa nisubiri chumbani kwangu niletewe barua yangu. Karibu saa...
Jamani tokea nimezaliwa hadi leo nimekuwa mkubwa .....nimekuwa nikisikia udsm kila mwaka lazima kuwepo na
migomo na maandamano........lakini vyuo kama ifm,ustawi,cbe,muccobs,mzumbe na...
Kuna uhalali wowote walimu wa Bukoba manispaa wa kulipishwa sh.10.000 kwa ajili yq vitambulisho katika zoezi la kuhakiki watumishi au ni mradi wa watu wachache wenye uchu wa pesa.Hii ilitokea trh...
Wanafunzi 45 wametimuliwa shuleni hapo kwa makosa ya kusababisha vurugu na walipokaguliwa walikutwa na silaha kama visu na bisibisi kwenye masanduku yao
natumia laptop dell latitude d 630,ina sehem ya kuweka line ya simu,nimejaribu kuweka line lakini sion alama yoyote ya kutambuliwa na computer,kama kuna mtu anajua namna inavyofanya kazi...
Mimi nilikua napendekeza serikali yetu kuunda mamlaka ya udhibiti elimu kama ilivyo ewura.sababu ya ushauri huu ni kwamba sasa hivi garama za shule zimepanda sana kila mtu anafungua shule yake na...
TAARIFA!
Nikiwa kama mhanga wa ambao hawajaona majina yao, napenda kusema kwamba, leo nilikwenda Wizarani
na nikaambiwa wahusika hawapo hadi jumatatu, lakini nilifanikiwa kuongea na Naibu Waziri...
Heshima yenu wakubwa na wadogo. Jamani mimi nina shida moja, ninatafuat scholarship kwa ajili ya kufanya masters degree. Nimeshafanya application kadhaa ila naona kama nahitaji kuomba kwenye vyuo...
Wana jf wapendwa woote kwa kweli mda wa kurudi zangu kijijini unawadia,wiki hili na la Maandalizi mazito ya University exams na napenda kuwapa taarifa kuwa wale wabishi waliokua humu kwa wiki hii...
Katika nchi zilizoendelea kuna nafasi za masomi mbali mbali wanazozitoa kwa ajili ya nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania,mimi nipo hapa Havard university nabeba box lakini kuna kitu kimoja ambacho...