MDOGO WANGU ANAKUJA HOME KUTOKA UDSM, kisa amekosa mkopo. Anasoma BA.Statistics. Mi mwenyewe na babayangu ( HAKI YA MUNGU) ni wakulima. Halafu hata nauli ya kuja home hatujapata! Wee acha tu...
Naombeni kwa anayejua au aliyesoma Uganda anisaidie jinsi ya kupata shule a level,au hata kama anaweza kunikonekti na mtu anayeweza nisaidia,NAOMBENI MSAADA HUYU KIJANA AKASOME
Baada ya siku kadhaa kuwepo kwa tetesi za mgomo hapa udsm, leo tena limeibuka upya.
Hali ya vurugu za hapa na pale ikiwapo kuwatoa watu madarasani na mabwenini ilianza mida ya saa mbili asubuhi...
Ni kuhusu haki ya wanafunzi waliofukuzwa na hatma ya fedha ya kujikimu.
Chezo limeanza mida ya saa 4 hivi, FFU wametanda eneo la chuo tayari kuwapiga mabomu wanafunzi.
Source: niko eneo la tukio
Ingia kwenye hiyo website hapo chini,kuna nafasi kibao za kupiga shule.
International Scholarships for Developing Countries | 2012-2013 Scholarships for Development
Inaelekea hali ya Wanafunzi wa Chou kikuu cha Dar Es Salaam bado ni tete kutokana na habari kuwa sasa hivi wameanza kufanya maandamano wakiwa wanatokea maeneo ya kitivo cha sheria. Haijafahamika...
Tunajisifu kuwa lugha yetu inakua sana duniani. Na wakati mwingine tunajisifu zaidi tunapoona mataifa makubwa kama CHINA na USA yanapo jikita zaidi kukijua KISWAHILI. Lakini kwa mtazamo wangu hawa...
Hawai'i Pacific University offers competitive academic and activity based scholarship awards to recognize outstanding international students who have the potential to become leaders in their...
-Ni baada ya kuwarudisha wanachuo 43 ambao walikuwa suspended kwa kosa la kufanya maandamano ambayo hayakuwa na ruhusa.
-Wengine 8 bado mazungumzo yanaendelea ili waweze kurudishwa.
-Tangazo la...
jamani poleni sana na shughuli na harakati katika maisha. mimi nimesoma pale na nisehemu ambayo sita isahau katika historia ya elimu yangu. natamani kujua kama kuna magreatthinkers wengine...
Leo ni siku ya tatu tangu roomate wangu aniweke exile.
Nikiwa mi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza na yeye ni mwaka watatu,jamaa katumia uzoefu wake kunipeleka exile tangu alipokuja msichana...
Jamani hivi hii elimu yetu hapa Tanzania inaweza kundoa tatizo la hukosefu wa ajira maana kuna vijana kibao wamemaliza vyuo vikuu na wapo tu bila ajira wala shughuli yoyote.wengine wamesoma...
jamani naishi na kufanya kazi mtwara, nahiaji kusoma IT ktk muda wa jioni baada ya kutoka kazini, wapi wanatoa kozi hiyo kwa muda tutakaokubaliana? nimegundua sasa tupo ktk cyber world, nisaidieni...
Habari wana JF, Naomba kufahamu changamoto zinazoikabiri Tradition(Manual) Information system katika sekta ya Elimu.. Especially Secondary schools pekee..
Nataka kufahamu
Matatizo yanayowakabili...
-Ni baada ya wanafunzi waliokamatwa katika maandamano kuwa suspended
9 kati ya hao wamekuwa suspended miezi nane.
23 kati ya hao, ambao wana kesi mahakamani kusimamishwa mpaka kesi zao zifutwe...
Chuo cha cbe ni chuo cha biashara ila wanafundisha it,chuo cha ifm ni chuo cha usimamizi wa fedha
lakini wanafundisha it na computer science,chuo iaa ni chuo cha uhasibu kinafundisha computer...
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Muhimbili wamefanya maandamano ambayo yamepelekea shughuli nzima ya mahafali kusimamishwa kwa muda mpaka dakika hii. Kuna uwezekano ikashindikana kabisa kwani hali bado...