Wanafunzi wa shule ya sekondari Ndanda,iliyoko wilaya ya Masasi, wamefukuzwa shuleni jana. Hii ni pamoja na wanafunzi wa kidato cha sita! Sababu kubwa ni baadhi ya wanafunzi wa imani ya dini ya...
Jaman kama kuna mtu yyte alibahatka kusoma mtwara tech ktk kpndi hcho nadhan atanisom vema,pale viboko vsivyo na idadi ndo ilikuwa chakula,manyanyaso na uonevu ndo usiseme,nasikitika ile...
Qn: 'Most of the countries in Africa attain their Independence in Multiparty system, Discuss how they ended up developing UNDEMOCRATIC Structure of govenance?'
mwenye idea ya ili swali linataka...
Wadau, katika pita pita yangu kwenye mitandao ya kijamii nikakutana na post moja inaonyesha kuwa University of Dar es Salaam wamecopy website ya University of Cape Town. Tazama mwenyewe University...
Natafuta shule au chuo binafsi chenye upungufu wa wataalamu kwenye hayo masomo.nina BED Arts ya SAUT via MWENGE.Overal GPA ni 3.7,wasiliana na mm kwenye 0764 620855.
Habari wana-JF
Kwa kumbukumbu za haraka haraka ni kwamba pesa
( LOAN) zinazotowa na serikali kupitia HESLB kwa wanavyuo vya elimu ya juu ni kwa masharti ya kurudishwa baadae na wahusika(wanavyuo)...
Ongezeko la seat allowance zaid ya mara tatu ya mwanzo, inasikitisha sana. Nawaomba wanazuoni wanaopata elimu for liberation to think about this. Wabunge wanadai kuongezeka kwa gharama ya maisha...
Ama kwa hakika umeme kama wimbo wa taifa sasa 2megoma kuimba...ikiwa kama chuo kikuu cha taifa na dunia kwa ujumla umeme umekatika unafkiri kuna kinachoendelea kweli hali imeendelea kujitokeza...
kwa mtazamo wangu ninaona kuanzia elimu ya msingi hadi sekondari ingeongezewa somo la ufundi (kwa vitendo). Sababu ya msingi inayofanya nifikiri juu ya hili ni;
- wale wanaoshindwa kuvuka kutoka...
Shule ya sekondari ya ndanda imefungwa kwa muda usiojulikana,kufuatia mgogoro wa kidini,wanafunzi wakiislamu wanadai eneo la kujenga msikiti eneo la shule
Natamani kuwaona,natamani kusikia wako wapi.hivi wameonyesha kwamba wao ni 'special' kwa kuleta maendeleo nchini?au walipewa misifa isiyostahili.wale wa mzumbe,Ilboru,Tabora...
Wanaharakati wa UDSM wamepiga kambi nje ya jengo la utawala wakishinikiza kujua hatma ya wanafunzi 22 waliosimamishwa masomo.
Kama inavyokuwa rev. square, wanazungumza kwa sauti kuambia watawala...
ndugu zangu watanzania naomba nipate ufafanuzi juu ya jambo hilo maana tunaona asilimia kubwa ya vyuo nchini wanatoa kozi hizo. Wengine wanasoma kwa vitendo zaidi lakini wengine notes sana...