I have been wondering how someone changes social status/class from lower level to higher level. Do you earn/acquire from the society around you au ni wewe mwenyewe unajitangaza kuanzia leo mimi ni...
KUANZIA Januari shule zote nchini zitalazimika kutoza ada mpya itakayopangwa na Serikali.
Hatua hiyo inatokana na Serikali kuahidi kabla ya mwisho wa mwezi ujao, kutoa waraka wa ada mpya za...
Hivi wenzetu wapigwe , wadhalilishwe, wadaiwe dhamana ya mali isiyohamishika inayozidi millioni moja wakati wanafunzi hao ndio wanaodai mkopo alafu tukae kimya? Tuko tayari kufa kwa ajili ya haki...
habari wanafunzi wenzangu,ni taarifa ya kuwepo kwa site kama jamiiforums ila hii imespecialized kwa wanafunzi wa vyuo tu!site hii imetengenezwa maalumu ilikuunda jamii kubwa wa wanafunzi wa vyuo...
Hivi Kwa Nini Wizara Ya Elimu Pamoja Na Umuhimu Wake Ndo Wizara Inayoongoza Kuwa Na Mawaziri Wabovu Toka Enzi Za Juma Kapuya, Joseph Mungai, Magareth Sita, Jumanne Magembe Na Sasa Shukuru...
wanafunzi 50 wa udsm.....wamefikishwa mahakamani......kwa kuhusishwa na kuandaa maandamano ya kudai mikopo kwa watoto wa mkulima.....na wengine 17 wamefukuzwa chuoni ........
Mimi ni MTANZANIA niliyefanikiwa kujiunga na chuo kikuu cha dodoma (udom) mwaka juzi kwa bahati nzuri nimefanikiwa kupata mkopo 100% ni kweli fedha imeongezeka lakini haitakuwa vizuri mimi...
Gazeti la Dira likuwa likifichua maovu katika sekta ya elimu.tuwaunge mkono ili tuutokomeze ufisadi katika Vyuo vya elimu ya juu na sekta nyingine ya elimu.Heko Gazeti la Dira kwa jitihada zenu.
vyuo hivi serikali inapotoka havina viwango tusiharakishe kwa kupata wasomi fake,St.joseph waalim fake last yr kulikuwa na doctorate moja tena kaondoka...nyingine ni principal hao wengine wahind...
Economic growth is all that matters to reduce poverty in t(T)anzania, do u (do you) agree? Nipe factor ma great thnker (Thinkers)
Kuwa msomi makini kwa kutumia sarufi kwa ufasihi zaidi, Ukiandika...
Nilikua natembelea website ya chuo cha ukweli nikastuka kidogo nilipokutana na hiyo link ya .pdf ambayo lugha yake sikuielewa kidogo,wadau nisaidieni.....hapa mtu akinyimwa kazi akapewa alie...
Sidhani hawa viongozi wetu wana watoto kwenye hivi vyuo, Yani wapo tayari kununua maelfu ya mabomu kuliko kuwapatia mahitaji hawa wanafunzi wa vyuo. Labda viongozi wetu hawana watoto, sababu...
Hivi ni haki mwanafunzi hana baba wala mama, mwenye division 1.8 na aliyesoma shule za kata o-level na advanc asipate mkopo? wakat huo huo watoto wa mawaziri na wabunge wapewe zaidi ya 80%.. bila...