Wakuu;
Wakati akihutubia BUNGE siku ya tarehe 30/12/2005 Mjini Dodoma, Rais Kikwete, kati ya moja ya ahadi alizotoa, aliahidi Kujenga Shule za Bweni za Sekondari za Kitaifa nchini. Nitashukuru...
Aiseeeeeh! ifikie sehemu waajiliwa wa vyuo vikuu hasa ktk LOAN OFFICES muwe punctual na kazi. Hivi kuna ugumu gani kufanya analysis ya huyu shilingi ngapi! Huyu ngapi! Then una-release majina...
Ndugu wa Tanzania nimasikitiko makubwa Sana serekali ina fanya mzaha kwenye sekta ya elimu juzi tumeona naibu waziri wa elimu akizifungia baadhi ya shule kwakukosa sifa ya kuziendesha kwa mfano...
Awali ya yote nipende kuwapongeza kampuni ya tiGO kwa kuwa kampuni mama ya Tanzania!!
Tatizo kubwa linaloniumiza mimi kama mteja wenu ni pale mnapotudanganya kupitia matangazo yenu ya biashara...
Nimekua nikiajiri graduates kutoka vyuo mbalimbali kwa muda sasa. Navutiwa na utendaji kazi wa graduates wa IFM. Je kwanini hicho chuo akipandishwi kuwa university?
jamani nina kaka angu mwaka wa 4 Sasa anatafuta hilo dubwana but still halipata.Swali hivi pale NBAA pana urasimu au vipi? Coz broo anakomb sana ila wapi!
Naomba msaada kama kuna anayefahamu zaidi kuhusu chuo hiki [SJUT ] yaani elimu inayotolewa
kwa kifupi nikifananishe na chuo gani kwa ubora au kwa ubaya
Jamani nimesikia shule ya Kikongo iliopo maeneo ya Mwenge Dar es salaam imefungwa na wizara ya elimu.
Kama kuna mtu anajua sababu za kufungwa naomba kujuzwa maana kuna ndugu yangu alitaka...
SCHOLARSHIPS OPPORTUNITY FOR TANZANIANS
The International University for Humanity and Social Sciences (IUHS) Costa Rica (Central America) is pleased to announce the offering scholarships for...
Sasa unaweza kupokea taarifa za scholarships kwenye email yako.
Ingia Scholarships for Tanzanians, angalia upande wa kushoto juu utaona "Scholarship alert via email". Ingiza jina lako na email...
Juzi wakati nipo hapa jamvini kuna Thread moja ya Bujiji iliyokuwa na kichwa cha habari kisemacho Ni Kitabu gani ulichokisoma hivi karibun..
Ilinivutia sana kuipitia kwani ukitaka kumficha kitu...
Nimekuwa nikifanya utafiti katika vyuo vyetu hapa nchini lakini kwa hili mnalolifanya nia dhambi kubwa kwetu sisi wazazi,kutokana na serikali kuanzisha bodi ya mikopo sio wote wanapata,sisi wazazi...
Wanafunzi wa UDOM-college of education, wapo mbioni kugoma ili kushinikiza utawala ukamilishe matakwa yao hususani ya fedha za kujikimu. Mwaka huu wa masomo wa 2011/2012 umekuwa tofauti kidogo...
WanaJF kuna mdogo wangu amemaliza form four sasa kipindi hiki anasubiri matokeo niliona ni bora akapige short course pale UCC ila sijajua ni course gani nzuri amabayo itamsaidia maishani kwake...
5o years of independence still local residences of tanzania are still living under abject poverty
there is no assuarence of permanent water and people are moving here and there around the...
Mfuko wa afya wa bima Nhif unawatangazia wale wote walioomba kazi Kama ifuatavyo ;
>wale wenye shahada ya kwanza tar 7/nov 2011
>diploma ya juu na kawaida tar 8 Nov
waombaji wenye vyet vya...
Taarifa zilizo rasmi toka Heslb,kufikia Alhamisi wiki hii,watakuwa wamesha wapatia wanafunzi wote wa Kanda yetu pesa zao za mkopo,Wasipo fanya hivyo,Tujiandae kwa mgomo mkubwa utakao ifikishia...