Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi amesema serikali haina pesa waliokosa mkopo wazazi wao watafute namna. source: ITV kipindi dakika 45 bado anaendelea na mahojiano
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Wadau wa jamii hii naomba nipate msaada kuhusu tofauti ya hayo yaliyopo kwenye kichwa cha habari hapo juu maana kwa sisi ambao hatujasoma inakuwa vigumu kujua kwa usahihi tofauti yao......
0 Reactions
10 Replies
7K Views
hello,ijumaa radio uhuru wametangaza vyuo vya st.joseph college of engineering and technology tanzania,zambia,malawi na sierra lone vinachuzwa kutokana na ubovu wake,cha zambia kimefungwa kinaitwa...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Naomba mnisaidie kumuelewesha Kawambwa,Tatizo sio wanafunzi wa vyuo vikuu,tatizo ni bodi.Hivi na haki kweli Wanafunzi wamemaliza mwezi sasa vyuoni hawajapewa pesa zao?,na amesema wakigoma anafutia...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Katika hali isiyo ya kawaida waziri wa jk anae shughulikia wizara nyeti ya elimu,amesema serikali haina pesa tena za kuwafadhil wanafunzi walokosa mikopo hvo wazazi watafute namna...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
How I raised from failure to success
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Dear friends, In consideration of the fact that the “the taking control of Africa’s Educational Future – Conference” to be held on 16th to 18th November 2011 at the St. Augustine University of...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna kila dalili ya mgomo kwa wanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma hasa kolege ya education hapo kesho kutokana na kutokupewa fedha zao za kujikimu hadi hivi sasa.Ni takribani wiki mbili hivi sasa...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari kwenu wana jamii forum, mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha mtakatifu Augustino Tanzania. Nimeanzisha fans page kwa facebook ambayo ni 'YOUTH MOVEMENT IN TANZANIA' na pia nilikua nataka...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mh. Kawambwa amesema wanafunzi wote wa UDOM walioshindwa kurudi na kufanya mitihani ya semister ya 2 wametamkiwa watarudia mwaka.......mjini shule! Source: DK 45 ITV
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Kutokana na kitendo cha ubabaishaji wa kuwapatia pesa toka bodi(heslb) wanafunzi wa mwaka wa pili na continuing wengine Arusha,Wameazimia kufanya mgomo wa Pamoja ambao utaifikishia ujumbe...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Bodi ya mikopo ya elimu ya juu imeieleza kamati ya bunge ya hesabu za serikali (POAC) kwamba imeshindwa kuwapa hela ya mikopo wanafunzi wengi walioomba kutokana na serikali kutowa pesa walizoomba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu WanaJF, Napenda kutumia jukwaa hii tena kuipongeza Chuo kikuu cha Udaktari Buagando Kwa kufanya mabadiliko makubwa kwenye ufundishaji. Kama Miezi miwili hivi iliyopita nilitumia jukwaa...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Wadau,hapa kwetu tanzania kuna chuo kinachotoa degree ya hyo fani?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hi members. Kusoma sheria UDSM ni miaka 4, wakati MZUMBE ni miaka 3. kwanini ipo hivi!!. Au kuna kitu MZUMBE wanakosa ukilinganisha na UDSM!, Tofauti hasa ni nini kwenye Elimu inayopatikana. Maana...
0 Reactions
39 Replies
7K Views
Katika kile ambacho huwezi kuamini unaweza kusema Wahadhiri wa UDSM ni wajuzi na wazoefu kitaaluma hasa ukizingatia kwamba ni chuo kikuu kikongwe na chenye wataalamu wanaotegemewa katika Taifa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Friday, 28 October 2011 18:13 Following release of names of successful loan applicants for the 2011/2012 academic year, there are students who have expressed their intention to either appeal...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
chuo cha kampala international university walikuwa katika mgomo jioni hii kwa sababu ya ada kubwa na sytem ya kutoa elimu kwa njia ya modules kwa one month FFU ndio waliowatawanya. tution fees is...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Dear all i have my kids who are eager to learn french they are less than 8 year old. They somehow learn at their school. Unfortunately i know nothing about FRENCH. i am just wondering if anyway...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanajukwaa hili la elimu awali ya yote napenda kuwajulia hali na naamini wote wazima wa afya na ongereni katika harakati za ujenzi wa taifa. Lengo la huu uzi ni kutaka kujua sababu gani zimefanya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…