MAMBO VP WADAU WA ELIMU?
KUNA TETESI NA PENGINE NI UKWELI KWAMBA KATIKA BAADHI YA SHULE,MASWALI YA KUCHAGUA (multiple answer questions) SOMO LA HISABATI/HESABU YAMEANZA KUTUMIKA KATIKA MITIHANI...
HUWEZI kufanikiwa kama huthubutu kufanya mambo fulani. Kusoma sana au kidogo, kuwa na rafiki waliofanikiwa au wasiofanikiwa, kwenda nje ya nchi au la, au kuzaliwa familia maskini au tajiri, bado...
Nawaomba wenazangu tuliochaguliwa chuo kikuu cha bagamoyo kwa kozi ya education hasa wale wa awamu ya pili ninaomba sana tuwasiliane kwa namba 0782495588 au 0767495589 na 0714495588. Ili tuweze...
College admissions is a tough game. Even the most proactive, organized, and prepared students need help with their applications, essays, and financial aid forms. Add the complexities of applying...
"Hii itasaidia kupandisha heshima, utiifu, ukakamavu na ufanisi wa vijana"
Ni kauli ya mheshimiwa mmoja kufuatia Serikali kutangaza tena na kuthibitisha kuwa, kuanzia mwaka huu ni lazima kwa kila...
Habari za kazi watanzania wenzangu.
Naombeni mishauri kuhusu course inayofaa kumpeleka mdogo wangu mara baada ya kumaliza form four ikitokea matokeo yakiwa sio mazuri
Aksanteni
Ingawa hata mimi sio mzuri kwa kiingereza soma habari hii ujue ukweli kuhusu shule zetu.
By Christine Mungai, The East African (email the author)
Posted Sunday, September 18 2011 at...
It is threatening to learn that about 14 million acres gotburned by wild fires,what do we do to help reduse and /or stop wild fires from becoming a common phenomena?
Ndugu zangu chuo kikuu cha bagamoyo kina mfadhili wa kusomesha wanachuo wa hapo? kwani programme hata za education zinagharimu pesa za kitanzania kiasi cha shilingi 4990000/=kwa mwaka kama hakuna...
Baada ya kukosa udhamini wa serikali natafuta private sponsorship ili niweze kujiunga na chuo mapema mwezi ujao. Kuna mwenye uelewa wa namna na kutafuta sponsors? Naombeni mnisaidie!
Nimekosa Kazi na Nimeshindwa Kujiajiri.....
pamoja na elimu ya darsani ya chuo bado sijaweza kupata kazi, na mfumo wa elimu niliopitia haujanipa skills za maisha
sio ufundi mbao, nyumba...
Hatimaye sitofahamu inayo endelea kati ya WANAFUNZI na UBALOZI na SERIKALI kwa ujumla nchini msumbiji,wanafunzi hao waliamua kuhamishia makazi yaoubalozi wa Tz uliopo katikati ya jiji la...
Hali zenu wanajf...nilikuwa naomba kujuzwa ni taratibu gani ambazo hufuatwa na mtu ambaye anataka kushift mkopo wake kutoka taasisi moja hadi nyingne.Kwa mwenye uzoefu au kujua kuhusu hili msaada...
Jamani nilisikia kwamba leo bodi ya mikopo ingetoa tamko la mwisho au majina mengine ya waliopata mkopo,kuna anaejua nini kinaendelea,naomba anijulishe
8 Ways to Quickly Get a ScholarshipIn awarding scholarships, organizations and universities look at many factors such as your application, academic transcripts, presentation, essays, community...
Kuna taarifa kuwa wanafunzi wanaosoma katika shule ya sekondari ya Mgololo iliyoko Wilaya ya Mufindi, Iringa hawajui kusoma wala kuandika
Mkuu wa shule amemwandikia barua Mkurugenzi Mtendaji wa...
Wana JF chuo kikuu huria Tanzania kinatoa stashahada ya elimu ya msingi ambayo hakuna chuo chochote cha ualimu kinachotoa stashahada hiyo.Aidha ktk wizara ya elimu sijawahi ona tangazo au...
Habari wana jf, nahitaji kujua vyuo vya biashara mbali na vile vinavyojulikana sana kama cbe, ukiniAMBIA jina la chuo na mahali kilipo utakuwa umenisaidia sana
Kama shule zinajengwa, na zina wanafunzi ila walimu wanakosekana, Je? ni za kazi gani?
Unatoa ushauri gani kwa serikali yetu?
Zianzishwa Online school ?