Hi..jf pple..samahani naombeni msaada wenu...hivi ni course gani nzr kwa mm nnaetaka kusoma certfct?pia mm kama mm napenda kusomea mambo ya IT..bt cjafahamu vzr ni chuo kp kzr..tanx
Naomba kufahamishwa kuhusu usajili wa vyuo unaofanywa na NACTE,nilisoma kwenye TOVUTI yao orodha ya vyuo vilivyosajiliwa nikaona kuna preparatory,provissional na fully registration.mnaoelewa mimi...
elimu ya tanzania sasa yawa ya kitapeli!waliwatapeli watoto wa kibaha sasa watoto wa vijibweni kigamboni!wanafunzi wamepewa mitihani maths na civics ambayo ilishafanywa arusha huku ikiwa na...
habari za kusikitisha zimetokea leo asubuhi mjini mtwara ambapo mwanafunzi wa kike amefariki dunia, mauti yamemkuta gesti akiwa na mwanaume. Mwanaume huyo alikuwa amemchukua mwanafunzi huyo na...
Habari wanajamvi. Tafadhali kwa mwenye taarifa za kozi zinazotolewa na chuo cha ustawi wa jamii kinachosimamiwa na wizara ya afya. Imetokea nikisikia sikia lakini sijafanya chochote...
Habarini zenu wana jamii, mimi ni mwnafunzi wa chuo flani hapa tz, sasahivi naelekea kufanya field, natakiwa kuandaa proposal kabla cjaanza kuandika resarch riport yangu, tatizo limekuja kila...
Tangu nianze kufuatlia selection za madogo kwenye web ya tcu,leo ni mara ya tano nakuta web yao haiko hewani bila sababu za msingi...kwa anaejua a2fahamishe,ni nin mbaya huko!
Vijana ninaowazungumzia ni wale ambao TCU imewatangaza kuwa hawana sifa za kuchaguliwa kujiunga vyuo vikuu kwa vile hawa sifa kwa vile hawana credit tatu za O-level. Vijana hawa wengi wao ni wale...
Jay Smith is your One Stop Shop For All Your Wireless needs. Jay's provides you with latest and comprehensive
information on cellular phones and accessories in USA & UK. We are proud of the...
Kwa aliye download PDF ya selected applicants IFM anisaidie kujua kama kuna la LEONARD SAMWEL in information technology. Niko kijijini jamani sina access ya mtandao kabisa ila kuna jamaa leo...
News
List of applicants for Second Round of applications
Introduction The second round of applications for applicants who were not selected under the...
Mda mfupi uliopita, nimepokea simu kutoka kwa wadau kwamba TCU wametoa majibu, lakini kinachoniumiza mpaka sasa nafungua website ya TCU ipo busy, je ni kweli jamani tetesi hizi?
Inakuwaje kwenye ofisi za serikali academic transcripts hazikubaliki katika mpaka upate cheti original cha chuo wakati huohuo vyuo vyao vyeti huchelewa mno inaweza fika hadi miaka miwili na zaidi...
Wadau kuna ndugu yangu anataka aunge kwa kufanya masters ya Ms.Finance inayotolewa na IFM. Naombeni mwenye kufahamu anijuze ubora wake, maana kuna vyuo pia vinatoa masters lakini hazina heshima na...
wana fj tushirikiane kuhusu hili..wiki mili zilizopita chuo cha ustawi wa jamii kilifungwa na serikal kwa muda uliojulikana kutokana na mgomo wa haadhiri,chakushangaza pamija na kuwa ni mgomo wa...