Nashauri Watanzania kwa ujumla wetu, bila kujali kama mtu ana dini au hana, tuanzishe utoaji wa sadaka maalum kila siku au kila wiki ambayo inapendekzwa iitwe SADAKA YA ELIMU. Lengo liwe ni angalu...
Wana JF nifungueni katika hili. Wabunge kulipia ada wanafunzi ni PUBLIC RESPONSIBILITY ya mbunge au ni RUSHWA kwa wapiga kura. Ninaelewa kuna mfuko wa kusomesha wasiojiweza katika Halmashauri...
Nimehitimu na degree ya sanaa na elimu BAED matarajio yangu ni kama ifuatavyo:nitafundisha miaka 4 tu katika gvt schools baada ya hapo nataka nafanye post graduate diploma ya public administration...
Nwangwine Publishers wameleta Revolution katika fani ya uandishi wa vitabu hasa vua elimu ya sekondari. kusema kweli juhudi zao zinawasaidia sana walimu, wazazi na wanafunzi kupata vitabu mbali...
Ni takribani miezi mitano impepita sasa tangu mahafali ya kwanza ya Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) ifanyike na kuhudhuriwa pia na mkuu wa nchi ambaye alitunukiwa shahada ya uzamivu. Jambo la ajabu...
Ndugu zangu wanaJF,nasikia hiki ni chuo kinacho offer course karibia zote za kipekee Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla,kama vile Bsc.Geomatics(land...
habari zenu...!wakati niki sirf kwenye tovuti mbalimbali nimegundua kuwa kun awebsite ambayo wanafunzi na walimu wanaweza kuitumia inaitwa www.SONGOKA.COM sasa kama wadau wa elimu jaribu kuangalia...
Wana UDOM wanajadili juu ya suala la uwekezaji katika elimu hapa tz, naona Dr Lwaitama nae yupo ndani ya studio
Ila sasa Udom wanatoa hoja nyingi wakihusisha matatizo yao ya kutokwenda mafunzo kwa...
Wadau naombeni msaada wa jisnsi ya kutafuta area under curve.
Curve ina data nyingi lakini huwezi kuformulate function yeyote ili uweze kufanya kwa ku-integrate..
Ila una normal X-Y plane...
idea...
Hisabati kwa watoto wa shule za msingi Afrika Mashariki. Ni ajabu kuwa majirani zetu Kenya watoto wao wanawashinda wa hapa kwetu hata kwenye zoezi dogo la Kiswahili!
Ni kweli ripoti inaonesha...
Wakati usajili wa wanafunzi wa mwaka wa 3,college ya sayansi ya jamii,ukikamilika jana,kwa kupitia nyaraka zote za malipo ya ada,leo mitian ya final inaanza,lakini wanafunzi wote ambao wanadaiwa...
Carnegie Corporation funded Next Generation fellowship in Social Sciences opportunity for mid-career scholars from select African Countries[/h]
By fundsforngos, on June 30th, 2011
The Next...