Napendekeza kama Taifa tuanzishe shule maalum ya Kidato cha Tano na Sita ambayo itakuwa inatoa mafunzo yake kwa taifa zima kwa saa 24 kila siku kupitia njia ya Televisheni na Redio kwa...
Naombeni ushauri kwenye jukwaaa hili la great thinkers,First degree nimesoma Geomatics Ardhi university,ninahitaji kusoma masters degree,ushauri niombao nahitaji kuongeza shule hivyo je kwenye...
Wadau kuna tatizo gani ndani ya hiyo ofisi, hasa sehemu ambako transcripts zinatolewa! Kumekwepo na urasimu usiokuwa na maana sana kwa hawa wahusika: Wako wadada watatu (3), na hawako makini sana...
Kila mwaka tunalia tunataka kuongezewa hela..tena tunagoma kwa nguvu zote..lakini kwa miaka minne sasa hela ni kama imeganda hivi na maisha yamepanda,....Hivi ni ipi bora kuandamana waongeze hela...
Jamani Julius Nyerere alitunikiwa shahada nyingi sana za udaktari wa heshima wa falsafa (zaidi ya 20), Mkapa nanye hivyo hivyo, Mwinyi naye hivyo hivyo, moja au mbili.
Wote hawa hawajitukuza na...
Monday, May 23, 201j
Monday, May 23, 2011
Katibu wa NEC, Itidai na Uenezi, CCM, Nape Nnauye akizungumza na wanachama wa CCM tawi la CCM, Chuo cha Sanaa, Lugha na Sayansi ya Jamii, Chuo Kikuu...
Kaama dakika ishirini zilizopita nilikuwa naendesha usahili kwa vijana ambao wamemeliza vyuo vikuu amini usiamini kati ya vijana hao kumi walishindwa kabisa kufanya conversation ya kingereza japo...
Habari zenu wana jf!naomba kujuzwa kipi ni chuo knachotoa products znazokubalika sokon kati ya hivi udsm,sua,ardhi,mzumbe,ifm,muccobs,iaa,tumaini,udom,saut na muhimbili.
Kuna kipindi kinaendelea Chanel 10 nafikiri kimeanza saa 4. Huyu sheikh anathubutu kusema ni dini ya kiislam tu inayofikisha watu peponi na hakuna dini nyingine yyoyote inayoweza kumfikisha mtu...
hivi ni kwelli serikali ye2 imeshidwa kutatua tatizo kama hili kweli hayo mengine kam umeme yatapata solution?!
kweli 2ache utani inakera sana kuona hadi leo kuna watoto bado wanakaa chini...
Mtabishana weeeeeeeeeeeeeeeee! lakini wazungu ndio walioanzisha hiyo Dr na haohao ndio waliomtunuku, tena walewale wanaoongoza dunia ndio walikuwa wakwanza kumtunuku.
Honour
Awarded by
Date of...
Huwezi amini hadi lleo walimu wapya bado hawajalipwa pesa ya mizigo ili hali wilaya zingine tayari zimeshawalipa. wanajamii tusaidianeni mawazo hapa kuna tatizo.
Wanajukwaa, naombeni msaada. Katika sentensi hii, kuna bits na bytes ngapi? "THIS IS JAMIIFORUMS" Nimeuliza hivi kwa kuwa nashindwa kuelewa iwapo space inahesabika kama nayo ni character.
wazee wa mazengo,daaa,hapo vip?
Maaazengo!shule yetu,
twaipenda sana,
twaitakia fanaka na heri,
uzima amani,
maisha bora yenye furaha,
unakumbuka nini ukiwa mazengo?
...hivi aya majina ya mabara katika dunia yametungwa na nani? Na kwanini herufi inayoanza ndio inayomalizia?...nahisi itakua na maana flani...nijuzeni kwa anaejua