Napenda kuwasalimu wakubwa wote wa jf na kupokea salamu kutoka kwa wadogo zangu wa jf {ingawa nahisi hakuna mdogo wangu hata mmoja}.....nilipokuwa home 4 my easter holiday...nilimeet na rafiki...
Wana JF vipo vitu ambavyo ukitumia muda wako mwingi kuvitafakari unakosa majibu. Hivi karibuni tulisikia kuundwa kwa Tume ya kukusanya maoni katika vyuo vikuu kama suluhisho kwa matatizo ya mikopo...
In 1968, Teofilo Kisanji and Anosisye Jongo, as leaders of the two provinces of the Moravian Church in Tanzania, decided to start an institution named the Moravian Church Theological College at...
Nna miaka 21, nimehitim form six nikatoka na div III.14, nataka nikasome diploma ya geology. Ushauri jaman, nifanye hivyo au nihangaikie degree? (geology). Vipi soko la ajira kwa diploma holders...
wakuu nawasalimu! Nna mdogo wangu wa kike amemaliza kidato cha sita na kufauulu vizuri,ni degree program gani ajiunge ili iwe rahisi kwake kupata kazi kati ya hizi? Human resouces...
katika kujaza form ya kuombea mkopo kuna kipengele cha index number nimekosea. nimeandika namba isiyo yangu. Naomba mnisaidie jinsi ya kulirekebisha hili tatizo nililonalo (jinsi ya kuandika namba...
Juzi jumapili wanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) walifanya uchaguzi wa serikali ya wanafunzi. Nimepata taarifa kwamba uchaguzi huo ulikubwa na vitimbi vya hapa na pale ambapo wanafunzi wa...
Jamani mimi nimemaliza mwaka huu form 6 nilipata 4.19 PCB yaani fss. Sasa nimejaribu kuulizia vyuo mbalimbali, CBE wanasema naweza kusoma Diploma za BBA, Marketing, Procument na Accountance...
Watanzania wenzangu kuna habari nimezipata kweli zimenistua sana.
Nimesikia kwamba shirika la world vision lilitoa nafasi za kazi, lakini katika nafasi hizo, wanatakiwa wahitimu waliomaliza...
WAKUU SALAAM
Nina mpango wa kuanzisha NGo itakayojikita kwenye kuelimisha watu kuhusu mauaji ya albino na wazee kwa tuhuma za uchawi yanayokithiri katika kanda ya ziwa.
Kwa nini nimeanika hapa...
Na Abdul Mitumba
8th May 2011
Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari katika wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, wamekiri kuwa kima cha chini cha mshahara anacholipwa mwalimu anayeanza kazi kwa...
Nipo kazini kwa muda mrefu kidogo hivi sasa!
Wakati naanza kazi nilikuwa na matumaini makubwa ya kutoa mchango mkubwa katika utoaji wa huduma katika eneo langu la kazi, lakini naweza kusema hali...
Habari wana JF. Jamani Laptop yangu ina tatizo la sound, naombeni msaada wataalam wa IT/Computer Science. Nimeshahangaika nayo sana, HP website nimecheck drivers hazipo ambazo ni compatible na...
Chaguzi uliovurugika jana saa saba mchana leo pia utavurugika tena kwa vile tume ya uchaguzi imeondoa jina moja bila kuuarifu umma .pia kituko kitaonekana pale ambapo kijana mmoja bashe atakapo...
Kuna ubishi ambao umetokea leo hapa mtaani kuhusu chuo cha dodoma (udom)
eti wengne wanadai kajenga Bill gate na wengne wanadai kuwa ni mtoto wa mfalme wa Oman kajenga kulipa fadhila baada ya...
Mwenyekiti wa tawi la ccm CHUO CHA BIASHARA- CBE DSM Ndg MISSO ameshindwa nafasi ya urais aliyokuwa inawaniwa na kijana mpambanaji Ndg KIDELA. Wiki nzima iliyokuwa imejaa mbwembwe pale chuoni...
Habari zenu wana JF,tafadhali ndugu zangu naombeni msaada wa mawazo kwa ajili ya mdogo wangu ambaye amemaliza kidato cha sita mwaka huu kwa bahati mbaya matokeo yake si mazuri,amepata div.III ya...