hali si shwari kwa wafanyakazi wa chuo cha cedha arusha
tunaomba wizara itusaidie matatizo yaliyopo chuo cha cedha-arusha,
kaimu mkuu wa chuo dr. Masatu hafai kabisa hapa chuoni ana upendeleo...
Please; may you help me this question? WHAT ARE PROBLEMS HINDERING A POLICY MAKER IN THE REAL WORLD TO USE PARETO CRITERION?? Do you agree with the PARETO criterion for efficient allocation of...
wanaJF nina ndugu yangu kamaliza form 6 HKL na kapata div 3.16(yaan ana SSD),je kuna uwezekano wa kupata chuo cha serikali? Na koz ipi itakuwa rahisi kudahiliwa? Vp kuhusu TUMAINI na SAUT atapata?
Ndugu zangu, najua hapa jamvini kuna watu wa taaluma na uelewa mbalimbali hivyohadi kufikia uamuzi huu nimeona kabisa kwamba, nitapata watu wenye kuelewa na wanaoweza kunisaidia katika hitaji...
Mimi naomba kuhoji kuhusu suala ya management ya UDOM kuwarudisha nyumbani wanafunzi wa kitivo cha mawasiliano na elimu angavu (Informatics & Virtual Education), kisa walikua wanadai pesa zao za...
......................................Qingdao Medical University (QMU)
Course offered Bachelor of medicine and medicine (MBBS)
language - English
Duration - 5.5 years
The complete fee...
kijana ambaye kwa jina anaitwa mwaisiga thobiasi na abubakiri bashi wamechafua hali ya uchaguzi udom.vijana hawa wakiwa wananadi sera katika chuo cha elimu na chuo cha sayansi ya jamii wamezomewa...
Kiasi fulani niliipenda hotuba ya Mkuu jana ingawa kuna maswali mengi ambayo hakuyatolea majibu km aliposema waajiri wanatoa masharti magumu wanapotangaza nafasi za kazi, kipengele cha uzoefu...
Nina mdogo wangu amemaliza form six masomo ya History, Kiswahili na English.
sasa sijui chuo kikuu anaweza kuchukua masomo gani na kama kazi atafanya kazi gani? msaada wenu.
Ndugu yangu kapata matokeo yake ya kidato cha sita,amepata div.3 ya 14 katika combination ya HGK (E,E,D) Sasa je anaweza kusoma elimu ya juu hususani degree?na je yuko eligible kuomba mkopo...
Saturday, January 15, 2011
Rais Kikwete aunda tume mgogoro UDOM
SAKATA la uongozi na wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) limeingia katika hatua nyingine baada ya Rais Jakaya Kikwete...
migomo ya mara kwa mara ya vyuo hapa nchini inawezekana ikawa ni sababu ya kupungua kw idadi ya waliopass alevel mwaka huu kulinganisha na miaka ya nyuma?. me kwa mtazamo wangu kabla matokeo haya...
Habari wana JF, naomba mnielimishe kulikoni forum ya scince & technology haifunguki au ni kwa computer yangu tu, au kumetokea nini? naomba mnijuze tafadhali.
Naitwa Yohana Benjamin, nimezaliwa mwaka 1993 Kigoma.
Nimesoma shule ya msingi Kabanga mazoezi, Kigoma wilaya ya Kasulu. Mimi nina ulemavu wa miguu, hata hivyo nimebahatika kumaliza na kufaulu...