Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

.......Nimekuwa nikipata taarifa tofauti tofauti kila mara ninapouliza watu juu ya GPA ya JK kwenye Bachelor yake.Wengi wanadai aligonga 2.6 na kagonga Supp za kutosha almost each...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Hello, Am looking for Universities or Colleges from Across the World which offers quality education, certificates which are recognised by Tanzania Universities (UD,Mzumbe, SUA e.tc) and...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Is derived from the word 'poly' meaning 'many' and the word 'ticks' meaning 'blood-sucking parasites'. Is it true ID for our current government?
0 Reactions
0 Replies
953 Views
great thinkers,natafuta past papers za pure.math,kama kuna mtu anayeweza kunielekeza nitapoweza ku download nitashukuru sana(softcopy)
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni kwa nini NECTA hawatoi cheti original tena kwa mtu aliyepotelewa na cheti?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
is teaching proffessional or is an occupation?
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Naomba mwenye sample za Research Topics katika area ya Marketing anisaidie...................
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Siasa ni mdudu ambaye kwa namna moja au nyingine amechangia kuitafuna elimu yetu hasa nyakati hizi za usoni
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mimi ni mmoja kati ya watu wanaokerwa sana na tabia za makonda kunyanyasa wanafunzi hasa wa jinsia ya kike. Kuna wakati fulani nilitembelea KENYA na kushangaa kutoliona tatizo hili. Mwanzoni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
natafuta sample za research topics za information technology law, pliz help wanajamii...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Siku ya jumamosi tarehe 26 March ilikua na hekaheka za kufanyika kwa College Baraza,College ya Social Science and Humanity! Kabla ya Baraza hilo kulikua na maandalizi ya Wafuasi wa CHADEMA hapa...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Ndugu zangu wana jamii forum, kuna kitabu nimesoma chenye title hapo juu,nafikiri kinagusa mambo yanayoendelea kwenye jamii yetu.maonaje mkisome kisha tukijadili kwenye thred?kinapatikana...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wanajamii naomba muongozo wenu naipenda sana hii fani na nimeanza kujitengenezea short video editing kwa kutumia program kama pinnacle 9 na nyingine kwa kujisomea tu. Sasa natafuta chuo,je ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi kwa lugha ya kiingereza inaitwaje? Je? Makabila ya kitanzania yana msamiati huu? Je? Hiana ni fitna? Kati ya maneno yote haya mawili je?yametoholewa katika kiarabu?
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Introduction The SHARE research consortium is offering two PhD fellowships for research at the LSHTM in the field of sanitation and hygiene in Sub-Saharan Africa or South Asia. The SHARE...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa makubaliano kati ya Serikali na Benki ya Dunia ambayo inafadhili awamu ya pili ya mpango wa maendeleo ya elimu ya sekondari serikali (SEDP II) iliahidi kufikisha kwenye kila shule ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana JF, Nadhani hili wanalofanyiwa watoto hao sio haki. Kwanza hawapati elimu katika hali hii. Nadhani wana haki ya kuishitaki serikali kwa hili...hata baada ya miaka 50. Ona tu mwenyewe hapa.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
The long-awaited reunion is here! 25th April 2011 is the day to be at Karimjee hall Grounds from 1830hrs to enjoy and reminisce about Kifungilo life. Come dance to Mganda and Mdumange tunes with...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
JAMANI MWENYE NAMBA YA SIMU YA MKUU WA SEKONDARI YA UFUNDI YA IFUNDA NAMWOMBA ANIPE KWA KUNIBIP KWENYE NAMBA YANGU 0753600592 AU 0655600592 AU EMAIL 3manywa5@vodamail.co.tz AU manywa5@yahoo.com...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Miaka michache iliyopita tangu kuanzishwa kwa chuo kikuu cha dodoma, wanafunzi wengi wa chuo hicho walihusishwa na chama tawala yaani ccm. Lakini siku za hivi karibuni idadi kubwa ya wanafunzi wa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…