Wana JF kama kunamtu yeyote anaefahamu lolote kuhusiana na mikoa mingi ya Tanzania bara kuishia na herufi 'A' na sio herufi nyingine. Mfano mikoa isiyoishia na herufi 'A' ni kama LINDI, MOROGORO...
Habari zenu wakuu naomba kwa yeyote anayejua anisaidie hatua za kufuata kabla ya kutuma maombi unapotaka kuendesha kazi mradi (project) ni kwa kiwango cha A-level
Safi sana vijana, uvccm ilikuja na siasa tope. Kwa nini UVCCM itumike kuwachafua watendaji wa Serikali instead of wanasiasa wanaotekeleza sera za CCM? Walitakiwa kuanza na Wazirir Mkuu then...
Walimu wapya leo hii wameandamana hadi ofisi za Manispaa Arusha kudai malipo yao. Taarifa zilizopo ni kwamba malipo hayo yamechelewa kulipwa kwa sababu Serikali kuu haina fedha hivyo ikaiomba...
Masikitiko, Masikitiko. Ndugu Mtanzania, kila mara rais na viongozi wake wanajigamba, ELIMU TANZANIA imepanda. Je kwanini usiamini kupanda kwa elimu kunathibitishwa na zero na kufeli kwa asilimia...
Hivi karibuni baraza la mitihani lilitangaza matokeo ya kidato cha nne ya Octoba, 2010.Kwa kiasi kikubwa matokeo hayo yanatoa picha halisi jinsi elimu yetu ilivyodidimia.Kama una mtoto wako...
na Stephano Mango, Songea
WALIMU 52 wa Sekondari waliopangwa kuanza kazi kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Songea wamegoma kupokea fedha za kujikimu zilizotolewa na halmashauri hiyo kwa madai...
wengi hatunatabia ya kutojisomea mara kwa mara, balaa linakuja tunapotangaziwa test au mtihani, hapo watu wanakesha(kubundi) usiku kucha. hivi lini tutaacha hii tabia ya zimamoto????
Wanajamii
Poleni na shughuli za hapa na pale
Naomba msaada wenu, nina mdogo wangu amemaliza degree ya social work 2008, ni mfanyakazi (social welfare officer) anahitaji kuongeza ujuzi katika mambo...
Nawasalimu ndugu zangu
Natumai sote au wengi wetu humu tumeona namna matokeo ya kidato cha nne yalivyokuwa mabaya mwaka huu. Kwa kuwa wanahabari nao ni sehemu ya jamii wanaoweza kutusaidia...
WANAFUNZI wa kidato cha sita, katika Shule ya Sekondari, Tosamaganga, mkoani Iringa, wamekubwa na hofu ya kushindwa kufanya mtihani wao baada ya shule hiyo, kukosa Sh13 milioni, kwa ajili ya...
Nimekuwa na kazi ya kusoma ripoti mbali mbali zilizoandikwa katika lugha ya Kiingereza. Kuna mambo mawili ambayo nimeyaona katika ripoti nyingi. La kwanza ni kutotumia alama za vituo kama coma...
Ankal pole na kazi za kuelimisha jamii. Tunaomba utuwekee katika glob yetu ya jamii ili maombi yetu yasikike kwa wahusika, maana tunajua haakosi kutupia jicho humu.
Sisi tulikuwa wanafunzi wa...
CHINESE GOVERNMENT SCHOLARSHIP PROGRAM
Chinese Government Scholarship program is established by the Ministry of Education of P.R. China (hereinafter referred to as MOE) in accordance with...
Wednesday, 26 January 2011 20:22
Mussa Juma, Arusha
MWANAFUNZI aliyeongoza mtihani wa kidato cha mne kitaifa mwaka 2010, Lucylight Mallya (18), amebainika kuwa ni yatima ambaye wazazi wake wote...