Hi wana JF kwa yeyote anaejua link mbalimbali ambazo naweza kudownload notisi za Physics, Chemistry, and Mathematics for A-level atupie hapo kitu hii itawasaidia wengi
Salutyyyyyi kwenu
Naomba mnisaidie kuvifahamu na mahali vilipo hapa tanzania vyuo vya serikali na vya binafsi vinavyotoa clinical officers au diploma ya medicine. Jamani naombeni mnisaidie maana ndo tunaelekea...
Madai ya walimu waliokosa ajira yatua OWM
Na Benjamin Masese
HATIMAYE sakata la baadhi ya walimu waliohitimu mafunzo yao ya ualimu mwaka 2009/2010 na kushindwa kuajiriwa limetinga katika...
Jamani imefika wakati inabidi tufanye followups za hawa viongozi wetu kama wana meet deadlines na ku deliver on time. Nakumbuka Pinda alikiri mwenyewe kwamba UDOM mambo siyo shwari na la kwanza...
Nimepokea text kutoka kwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu Makumira,
'umesikia maandamano?'
Nikamjibu, 'ndio nasoma kwenye JF, tatizo ni nini?'
Akanijibu, 'mikopo na waliogoma wote ni Chadema'...
Andrew G. Rosen, On Tuesday January 18, 2011, 2:10 pm EST
Most of us rely on e-mail as one of our primary communication tools. And given the number of messages we send and receive, we do it...
Wahitimu ualimu wazua tafrani wizarani
Na Benjamin Masese
SAKATA la baadhi ya walimu waliohitimu mwaka 2009/2010 la kuvamia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya ufundi kudai ajira limeingia sura...
FAULU wa kidato cha pili umeshuka kwa asilimia 8.3 mwaka jana, ikilinganishwa na mwaka juzi huku watahiniwa 671 wakifutiwa matokeo kwa udanganyifu.
Sababu zilizoelezwa kwa matokeo hayo mabovu...
Tarehe 19-januari-2011 RAIS wa JMT mh.dr.J.M K amezindua mpango wa elimu ya sekondari awamu ya pili
Huku mpango wa MES awamu ya kwanza ukionyesha mafanikio mengi kuliko mapungufu awamu ya pili...
muda umeniishia kabisa na ninatakiwa kupeleka proposal kwa wakuu sasa nisaidieni. mfano wa problem ni kama vile Student perception toward mathematics at university level.ikiwa ni msaada nitafurahi...
Habar wana jf. Napenda niwasilishe masikitiko yangu juu ya mtazamo ambao wana jf mmejijengea juu ya chuo hiki. Lakin hii yote imetokana mambo makuu ma tatu. Kwanza ni kusadikika kama chuo hiki ni...
This is a guide for both newbies just starting out with their first tie knot, as well as those more advanced students that would like to add some variety to their tie knots.
All I ask of you is...
Nimiona tangazo tajwa ktk The Guardian..
Nahitaji kujiridhisha kuhusu hiyo shule na kozi(kwa maana ya uwepo wa walimu,uzito wake katia soko la ajira na kutambulika kwake hapa nchini)
kama kuna...
Hod humu ndani!
natumaini wote ni wazima kwa uwezo wa aliye juuu!(mola).
ni hivi waungwana, us department imenitumia e-mail kuwa nimechaguliwa kwenye hiyo permit tajwa hapo juu baada kufanyika...
Wanafunzi wa chuo kikuu dodoma(udom) wameamka na leo hii walijitokeza kwa wingi ktk maandamano makubwa yaliyoandaliwa na chadema mkoa wa dodoma na kulaan mauaji ya arusha,sambamba na kuchangia...
By Philip Pullella Philip Pullella 33 mins ago
VATICAN CITY (Reuters) God's mind was behind complex scientific theories such as the Big Bang, and Christians should reject the idea that the...
kugoma kwa wahadiri UDOM, kwasababu ya maslahi wanatudhihirishia kuwa chuo hicho kilijengwa kwa msaada wa matajiri walioko nje ya nchi kama kina bilgates, haiwezekani serikali ijenge chuo kikubwa...