Kwa walio soma Maria De Mattias high school, ningependa kuomba msaada wenu kwanza issue ya elimu wanafunzi wanafundishwa then life style ya shuleni ikoje?
Kwa Nini serikali huwa inapanga wanafunzi waliotoka shule ya msingi Moja kwenda sekondari Moja darasa Zima isipokuwa tu wale wenye wastani wa A?
Kwa Nini wasiwe wanachanganya wanafunzi kutoka...
Habari
Moja kwa moja niende kwenye mada. Naomba kujua Kuna chuo gani hapa Tanzania kinachotoa diploma /degree katika kozi ya Occupational Health and Safety.
Nimeona OSHA wanatoa kozi mbalimbali za...
Kuna taasisi nyingi hivi sasa ni agents wa vyuo vikuu nje ya nchi,kama kuna mtu mwenye ushuhuda kuhusu ukweli wao kama sio matapeli naomba anifahamishe kabla sijafanya maamuzi,,,hususan TASSAA na...
Habari zenu wakuu,wakubwa shikamoni
Straight to the point,Niko mwaka wa tatu chuo x, niliingia na mipango mingi sana nilivyotoka advance ya kusave boom ili ikiwezekana nifungue biashara kwasababu...
Habari wakuu Mimi ni mwanafunzi wa chuo katika fani ya Computer science (degree mwaka wa pili),
Naomba ushauri kutoka kwenu juu ya fursa ambazo naweza kujiajiri nazo ,( kwenye fani hii ya...
Heshima Kwenu,
Nina binti anatakiwa awe shuleni form one mwakani.baada ya kuhitimu darasa la saba.
SIFA ZA SHULE
1. Shule ni lazima iwe boarding.
2. ADA mwisho iwe milioni 2.5 kwa mwaka.
3...
Kuna kero imejitokeza VETA DSM kwa matokeo ya vijana usaili uliofanyika miezi kadhaa nyuma. Vijana wamefata matokeo na kujikuta wamechaguliwa course ambazo hawakuomba. Mfano kijana aliomba umeme...
Mimi ni mwanafunzi nimemaliza form four mwaka 2021. Na nikapangiwa stashahada ya ualimu katika masomo ya physics and chemistry.
Katika kozi hii tunasoma miaka mitatu, miaka miwili advance na...
Katika safari ya elimu, tunakutana na maswali mazito: Je, tunasoma kwa ajili ya kujifunza na kufurahia mchakato wa maarifa, au ni shinikizo la kufaulu tu ndilo linatufanya tukaze akili? Wazazi...
Habari wanajamvi,
Naamini tunaendelea vizuri na shughuli zetu za kufunga mwaka wa 2024. Mungu amekuwa mwema kwetu, na ni kwa kudra zake tunaendelea kuishi.
Jana nilimtembelea rafiki yangu mmoja...
Chuo
Habari zenu wakuu,
Sisi Wanafunzi tunaoendelea na mwaka wa masomo ukitoa wale wa Mwaka wa Kwanza ambao ni wapya hapa Chuo cha DIT (Dar es Salaam Institute of Technology) tuna changamoto ya...
Hbr ya wknd ndugu zangu
Niende moja kwa moja kwenye Lengo la kuandika uzi huu,
Nina mdogo wangu ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka huu,alisoma combination ya HGL na kufanikiwa kupata matokeo...
Habari wa jamvi!!, nawasalimu kwa jina la jamhuri. Naomba kwa mtu aliyewahi kusoma course yeyote ya Afya Ngazi ya Bachelor anipe hali elimu ya kule ikoje,Ada kwa mgeni,maisha kwa mgeni,tamaduni ya...
SERIKALI IANGALIE VIZURI MFUMO WA AJIRA PORTAL, KUNA DALILI ZA WAHUNI KUSIMAMIA MFUMO HUU WA AJIRA.
Tarehe 13 Desemba, 2024 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya...
As the heading says, we are opening a coding school in Dar starting January 2025.
This isn’t a formal announcement…as more professional ads will be coming soon.
If interested for you or your...
NAOMBENI MNISAIDIE KIDOGO,, NIMECHANGANYIKIWA!
HIVI NINA DEGREE YA UALIMU WA MATH'S AND PHYSICS, NACHOHITAJI KUJUA NI KWAMBA NARUHUSIWA KUOMBA AJIRA SERIKALINI ANGALAU NIKIWA NA GPA YA NGAPI.¿...