Wenzangu naomba munisaidie Kuna huu ujumbe wa HESLB ukiangalia ALLOCATION za akaunti zetu za SIPA! Unamaana Gani pia utachukua MUDA Gani Hadi kukaaa sawa au kurudishwa katika Hali ya kawaida?
Ndugu zangu mimi sielewi katika hili naomba ushauri na ufafanuzi kuhusu badiliko hili kwenye account yangu ya HESLB
Kwenye institution hawajaweka chochote.
Naogopa sana na kujiuliza maswali mengi...
Samahani wakuu,
Sisi ni wanafunzi tuliomaliza chuo cha kati mwaka wa tatu, Ningependa kuuliza kuhusu suala la Submitted na Confirmed maana tuliambiwa kuwa ukiandikiwa Confirmed ni kuwa huna...
Tunaomba bodi ya mikopo ituangalie kwa jicho la tatu ambao hatukufanikiwa kukamilisha kuwasilisha nyaraka zote za muhimu kwenye maombi ya mikopo
Hata kama muda wa maombi umeisha au watakao kosa...
Kisa cha kweli: Niliacha kazi nikajiunga masters ili nimsomeshe mdogo wangu chuo
Hiki ni kisa cha kweli ilinitokea mara tu baada ya kupata kazi katika Shirika fulani hapa nchini.
Tangu zamani...
Nili confirm kujiunga TIA siku moja kabla ya muda kuisha na mfumo ulinikubalia vizuri tu, na pia ilikuwa baada ya TIA kutoa orodha ya first round kabla dirisha kufungwa, nisingekuwamo sababu...
Kumekuwa na kelele kila kona namna ambavyo vyuo na Taasisi za elimu ya juu nchini vinavyosumbua wale wanaojiunga ili kujiendeleza kielimu kwa ngazi ya shahada ya uzamili (Master degree) na uzamivu...
Hivi unapokwa umepata mkopo asilimia 100 hii inakuwa ina maana gani?
Pia soma: Ukipangwa mafunzo JKT na hujaripoti mafunzoni, je nikiomba mkopo HESLB nitapata?
Habari wakuu!!
Naomba msaada wa masomo kwa atakae guswa au anae fahamu shirika lolote linalotoa msaada kwa ngazi ya diploma.
Nitangulize shukrani zangu za dhati kwa wana JF kwa wale wote watakao...
Habari wakuu naomba msaada mwenye ufahamu na kozi ya laboratory science and technology kwenye upande wa fursa baada ya kuhitimu, pia ningependa kujua changamoto zake baada ya kuhitimu
Nimesoma vitabu vingi sana,ila kwa upande wangu naona hiki kitabu kimegusia vitu vingi sana.
Ukisoma hiki kitabu utangundua kwamba karibu nusu ya self help books zote zipo summaried humo...
Habari
Ashukuriwe Mungu kwa kutupa uzima
Binafsi napenda kusoma na kujifunza mambo mbalimbali kutoka kwa walionitangulia ,wenye uzoefu na wengine wote
Katika elimu tunakutana na changamoto...
Neema imewajia tena wale wote walio kosa vyuo.
TCU imetoa nafasi tena kwa wanafunzi kufanya application za vyuo
Jitahidini kuomba vyuo vingi
Kuwa makini katika uchaguzi wa degree programme...
Jamani, kama title inavyosema, mtoto anataliwa kuconfirm chuo anachoamini mi Bora kusoma Sheria kati ya vyuo vifuatavyo:tunaomba ushauri
Chuo kikuu kipi unashauli niconfirm make nimechaguliwa
1...
Habari,
Samahami nimejikuta katika wakati Mgumu sana baada ya mwanangu kumaliza darasa la saba mwaka huu 2024.
Tumekuwa tukivutana na mke wangu sana. Mtoto kapata shule nyingi za boarding...
Niseme tu wazi mimi nimesoma UDSM, Ila sifurahishwi na jinsi ambavyo wahitimu wa udom wanavyopewa upendeleo ktk soko ajira kwasasa kuliko vyuo vingine au upendeleo?
Hivi karibuni nilikuwa nchini...