Hakuna ambaye hapendi kuona mtoto au kijana wake akipata maarifa bora na elimu ambayo mwisho wa siku itamsaidia katika maisha yake. Elimu ambayo inakwenda kumuinua zaidi mtoto na kumfanya awe...
Leo 13/07/2024 matokeo ya kidato cha sita yametoka na ufaulu ni 99.43%
Nawapongeza waliofaulu, lakini pia nawaasa kuwa makini sana katika kuchagua program za kusoma, maana matokeo mazuri ya...
📚 SAFARI YA USAILI WALIMU WAPYA SEKRETARIATE YA AJIRA : Nafasi Mpya za Ualimu Zikifunguliwa kwa Shahada Zote (Bachelor of Education) and (Non Educational Bachelor with Specific Teaching Subject)...
ukweli ni kwamba elimu yetu ya Tanzania ina malengo zaidi ya kuajiriwa kuliko kujiajiri, vijana wengi wakipata vyeti ndoto huwa ni kuajiriwa, ni almost 2% ya wahitimu huwa wana ndoto nje ya ajira...
Hii ni nadharia ambayo inaelezea kuhusu uwezo wa machaguo ambayo kila mmoja anaweza kuchagua.
Hii inaeleza kuhusu nguvu ambayo kila mmoja anayo .Nguvu ya uamuzi ipo kwenye fikra za kila mtu...
Iko hivi. Kama ulisoma O-Level na Alevel au moja wapo private basi kupata mkopo toka Loarn board ni shida. Private secondary school zilikua zinasaidia kupunguza mzigo wa kuendsha elimu kwa...
Nimepitia guide book ya admission ya mwaka 2024/25 nimeshindwa kuielewa maana haina equivalent qualification kwenye program mbali mbali zaidi ya kuzungumzwa kiujumla jumla tu na ukienda kwenye...
Uongozi wa Chuo cha Uhasibu Arusha, umetaka wanafunzi zaidi ya 2000 kurudia mtihani ingawa walishafanya mtihani huo wa semister ya 2.
Chanzo ni kutolipa ada ya kufanya mtihani, hii sio haki...
Nimerudi tena jukwaani baada ya humu kumshauri mdogo wangu kusoma hii kozi ya diagnostic radiography sasa dogo langu kachaguliwa kwenye hizi institute mbili.
Kwa anayezifahamu au ambao wamewahi...
Nimeajiriwa mwaka 2015 na ilipofika mda wa kuchagua mifuko ya hifadhi ya jamii niliingia kingi nikachagua NSSF kwan agent wao ameniambia makato yote sawa na ya mifuko mingine lakini baadaye...
Habari,
Selection zimetoka ambapo nimechaguliwa kusomea Medical Laboratory General Muhas na Bachelor of Pharmacy Bugando na Kampala University je nikasome course ipi kati ya hizo?
Habari zenu wakuu, kama inavyosomeka katika title hapo juu, hizo ni habari za mdogo wangu ambaye ameomba mkopo kupitia bodi ya mikopo kwa ajili ya elimu ya juu(heslb). Swali tunalojiuliza hiyo...
Wakubwa naomba msaada juu ya ii kozi nimesha confirm...but kama Kuna uwezekano wa kufanya transfer naomba mnisaidie kujua cost za kuf Anya transfer ya koz niende computer engineering..,.matokeo na...
Serikali leo bungeni kupitia tume ya waziri mkuu imefuta matokeo ya kidato cha nne na kusema kuwa mitihani itasahihishwa upya
SWALI LANGU NI:> "*KAMA WATASAHIHISHA MITIHANI HIYO UPYA MATOKEO...