Staryte - Elimu, Burudani na Maendeleo
Nini maana ya kupanga muda?
Hizi ni kanuni, mazoezi, ujuzi, zana na mifumo inayokusaidia katika kutumia muda wako kwa ajili ya kukamilisha jambo...
Wakati nipo Ocean Road nikiwa TZ , nimefanya kazi na products mbalimbali kutoka vyuo tofauti, wapo wanafunzi kama intern wakiwa madaktari ambao we were training them, wengine wafamasia au nurses...
Kuna mchakato ulipita wa kuwapata watu watakao pata mafunzo na baadae kuwa wahudumu wa Afya ngazi ya jamii kwa ile mikoa kumi ya kwanza. Sasa nataka kujua ni lini Hawa waliopatikana wataenda...
Mi mwanafunz wa diploma ya biotechnology ila nataka kubadili course bachelor ili npate kazi ntakayoweza kujiajiri. Nisomee nini? Au hata hiyo inafaa? Napenda kusoma natural sciences au science...
Habari ndugu wana jf.
Naomba ufafanuzi kuhusiana na hii kozi ya laboratory science and technology iliyopo MUST & DIT. Hususani inahusiana na nini hasa, soko lake la ajira na namna ya kujiajiri...
Heshima kwenu wana JF.
Naombeni ufafanuzi kwenye utofauti kati ya faculty ambayo ni BACHELOR DEGREE IN [PARTICULAR FIELD] na BACHELOR OF SCIENCE IN [PARTICULAR FIELD].
Nawasilisha.
Kwanza habari za wakati wanajamii wenzangu.!?
Mm ni mhitimu wa chuo kikuu cha dar es salaam(Udsm) katika fani ya bachelor of science with education majoring physics na chemistry. Mwaka huu 2018...
Wada u nahitaji hizo video. naomba kujua naweza kuzipata wapi? nakumbuka niliwahi kuona video ya Things fall Apart, Song of Lawino. wakati huoz teknolojia ilikuwa haijakuwa. zilikuwa katika...
"kutokana na uhalisia kwamba hali ya elimu kuzidi kuwa mbaya nchini hali hii imetokana na Changamoto zinawakabili walimu kama ifuatavyo:-
1: miundo mbinu mibovu.Hali hii husababishwa na...
Tunawataarifu waombaji wa mikopo ya Wanafunzi kwa mwaka 2024/2025 kuwa baada ya kufanya uhakiki wa maombi yao, tumebaini baadhi ya maombi hayo yanahitaji kufanyiwa masahihisho ili kuruhusu...
Napenda kufahamu kuhusu utaratibu wa kurudia mtihani wa kidato cha nne maana naamini humu walimu wapo wanaohusika na wanaorudia mitihani hyo, je wanaorudia mtihani huwa nao wanakuwa na continious...
Kwa kweli naishiwa pozi nkitazama jinsi waalimu wanavyobabaika na ajira portal. Hebu wewe kama mzazi kaa chini tafakari kwani siyo kila kitu mwanao atapangiwa lazima aende. Kama umeridhia bas sawa...
Habarini wanajamiiforum,, nilikuwa naomba msaada kufahamishwa kuhusu kozi tajwa hapo juu kuhusu upatikanaji wake wa ajira na soko lake hata kwa kujiajiri binafsi na mambo kadha wa kadha kuhusu...
Hivi pale St. Francis Girls Mbeya pana siri gani wazee? Mwaka huu licha ya kwamba imekuwa ya pili kitaifa lakini ufaulu wake ni wa ajabu na kuogofya sana.
Picha linaanza darasa lina watahiniwa 92...
Habari wana JF,
Nauliza hivi kwa mtu ambae amehitimu chuo ngazi ya kati "ordinary diploma NTA 6"
na kufaulu kwa GPA 4.5. ila katika cheti cha form four ana ufaulu wa D3. Pia ni muajiriwa wa...