Wakuu habarini za wakati huu natumahi muu wazima wa Afya me upande wangu me ni mzima kabisa..
Moja kwa moja naomba mnipe ushauri nina mdogo wangu alimaliza kidato cha nne mwaka jana ila...
Nina ndugu yangu kapata matokeo haya HIST-D GEO-C BIO-C ENGL-D CIV-C CHEM-C LITE-D KISW-C MATH-D
Amepata Division III Point 23 Hajasomea PHYSICS na amepangiwa chuo cha HUMAN RESOURCES MANAGEMENT...
Ninafanya application ya diploma ila nikimaliza advance sasa sehemu ya ku add qualification hamna qualification ya advance
Jambo la pili sioni sehemu ya ku submit maombi na sijui kama nilipofikia...
Habari wakuu.
Tunapozungumzia kufundisha Literature tunazungumzia walimu wabobevu wa lugha ya kiingereza kwasababu hakuna fasihi bila lugha.
Kwa muda mrefu nimekua nikitatizwa na upungufu wa...
Nimepata
Phy D
Math D
Chem C
Na jumla ya ufaulu nin two ya 21 na nimeapply DIT kozi ya electrical engineering na mechanical engineering je nitapata nafasi kati ya hizo
MSAADA WA MAWAZO WAKUU...
Mimi ni Mkazi wa Ifakara Mkoani Morogoro, nina kero moja ambayo naona kadiri siku zinavyozidi kwenda mbele mambo yanazidi kuharibika, bora niseme hapa kupitia JF ili ujumbe uwafikie wahusika...
Habar mwalimu wa SoMo la mathematics/physics na computer studies anahitajika
Shule inahtaji huyo mwalimu wa level ya degree au diploma at least awe anaweza kifundisha SoMo mojawapo hapo juu...
Nauliza ni lini wanafunzi kutoka chuo cha mtakatifu Augustine Tanzania SAUT watasaini hela zao za kujikimu awamu ya nne angali wenzao kutoka vyuo vingine washasaini pia huu ucheleweshaji kuna...
Chuo cha Madini Dodoma (MRI) kilichopo miyuji Dodoma kimepakana na kambi ya makutupola kwa upande wa kaskazini na chuo cha mipango(IRDP) kwa upande wa kuzini, ni chuo pekee katika ukanda huu wa...
Salaam wadau,
Nimekuwa navutiwa sana na utoaji wa elimu kwa njia ya project-based learning, kwa jinsi inavyoweza kuwajenga watoto kuwa na uelewa wa hali juu ma vitu wanavyojifunza na mazingira...
Habari zenu nilikuwa naomba ushauri mm binafsi wakati namaliza shule ya msingi nilichukuliwa na kaka angu ambae anamuita baba yangu bamdogo, ilikuwa ni shule ya kulipia huko Mlalo Lushoto lakini...
Wakuu habarini za muda huu, poleni na majukumu na ni matumaini yangu kuwa mko vizuri kabisa.
Niende Moja kwa moja kwenye jambo langu, Naomba kuuliza ni course Gani ya certificate ambayo kijana...
Salaam Wanajamvi
Mimi ni mwanafunzi wa Thaqaafa Mwanza, kiukweli waziri wa elimu namchukia Sana pamoja na baraza la elimu hiii. Ni kwa sababu ya kuharibu mfumo mzima wa elimu na kutuletea BRN...
Wadau wa jamii forums kwema?
Niko hapa kupata mawazo yenu kama ilivo kawaida kupeana ujuzi katika vitu vinavyotuzunguka, nina dogo langu kahitimu advance mwaka huu na kapiga hgk, so dogo now huwa...
Mbaya zaidi dogo hakuomba combination yoyote ya arts katika maombi yake ya uchaguzi (selform)..... machaguo yOte matano ye ni PCM, PCB AU CBG.
Kijana amepambana kwenye shule yake ya kata hadi...
- Wifi internet ni tatizo, vyuo kibao hata free wifi haipo na kama ipo kuipata access yake ni shughuli ama ipo slow sana, kwa vyuo vya serikali angalau ttcl nayo ni taasisi ya serikali huwa...
Vijana Batch one tayari,Login kwenye account yako ya SIPA
https://www.thecitizen.co.tz/tanzania/news/national/heslb-unveils-first-batch-of-sh159-7-billion-loan-recipients-4408016?s=08