Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Habari ya wakati huu. Nilikua nahitaji kumuombea kijana mmoja kozi za afya ngazi ya diploma baada ya kupata taarifa jana kua mfumo umefunguliwa ila kila nikitembelea ukurasa wao Nacte naona tu...
0 Reactions
4 Replies
356 Views
Habari wana JF, Tamisemi ilitangaza kuhusu mtaala mpya wa elimu ikiwemo na kuongezeka kwa combinations mpya ila mtaani nasikia ya kwamba kuna combinations zimefutwa ningependa mtu anijulishe ni...
1 Reactions
10 Replies
733 Views
Y WARAKA WA WANAFUNZI WA ELIMU JUUKWA SERIKALI KUHUSU MIGOMO NA MAANDAMANOYA MARA KWAMARA VYUO VIKUU HAPA NCHINI. Tunapenda kuchukua fulsa hii kwanzakuomba msamaha na...
0 Reactions
7 Replies
28K Views
Hii kozi ya Bachelor of Science in Agricultural Economics and Agribusiness ina husiana na nini pia soko lake likoje,pia nahitaji kufahamu kama ni rahisi kujiajiri na kuajiriwa
1 Reactions
3 Replies
755 Views
Habarini wakuu, nilikuwa nauliza ni sehemu gani nzuri za kujifunza English course Tanzania ? Sent from my Pixel 3 XL using JamiiForums mobile app
0 Reactions
0 Replies
249 Views
SAKATA LA VALID ID Zaidi* ya robo tatu ya Wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam wameshindwa kufanya mitihani yao ya majaribio baada ya kukiuka kanuni na taratibu za mtihani za chuo kikuu cha...
1 Reactions
10 Replies
987 Views
Kwa ujio wa Artificial Intelligence umuhimu wa kujifunza na kuwa na uelewa wa programmig na coding ni muhimu sana. Kuna ajira nyingi sana ambazo ni remote zipo mitandaoni zinazohitaji mtu mwenye...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Nashauri serikali iweke mifumo IMARA ili fedha za elimu bure zitumike Kama malengo yalivyo na siyo kuachia wakuu wa shule wazitumie tofauti na matakwa ya serikali. Baadhi ya shule zimekuwa...
1 Reactions
1 Replies
357 Views
Wakuu tunaomba kujua kama madaraja ya mserereko mwezi March na April yatekelezwa kwa waliokidhi vigezo.May mosi ibakaribia!
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Anonymous
Mimi ni mmoja wa wanafunzi wa chuo kikuu MZUMBE, Ndaki Kuu (Morogoro). Nalalamikia namna ambavyo serikali ya wanafunzi, ambayo kwa mujibu wa sheria za Nchi - universities Act, Mzumbe Charter na...
1 Reactions
1 Replies
374 Views
Hasa ukizingatia masomo ya shule ya msingi ni ya kawaida sana hayana mambo mengi, Sijaona ulazima wa kuwafanya watoto wadogo wasome utadhani wapo form 6. Watoto wanabaki mpaka jioni, Shule...
3 Reactions
13 Replies
672 Views
Habari wadau, ninahitaji kitabu hiki kwa yeyote anayejua kinapopatika hapa Tanzania (hasa Dar). Nimekipata Amazon ila sasa kwa kitabu hiki (specifically) hawatumi kuja Tanzania. Tafadhali sana...
1 Reactions
2 Replies
187 Views
Wadau katika pitapita zangu huko mitandaoni nimekutana na jambo, naliwasilisha kwenu wanajukwaa tujue lipi ni jibu sahihi hapa? *wajasiriyamali msisahau kutembelea posting yangu ya Tanzania...
0 Reactions
3 Replies
389 Views
Na Comrade Ally Maftah KING OF ALL SOCIAL MEDIA Katika hii dunia inayokwenda kasi na isiyohitaji kubembelezana, unatakiwa kupata hivi vitu vitatu kwa namna ambayo hutoutweza utu wako. 1. PESA/...
3 Reactions
7 Replies
667 Views
Nikikumbuka maneno ya mbunge huyo wa Jimbo la Bunda vijijini alisikika akisema kama angeweza angefuta boom vyuoni, kwa kuwa alikuwa akiishauri serikali maana yake ushauri wake umepokelewa. Kama...
0 Reactions
12 Replies
893 Views
Tumsifu Yesu Kristu. Jamani mpo na maisha yanaendaje? Hebu tukumbushane yale maisha wakati ule tupo kitaluni kule seminarini, mambo ya masifu ya asubuhi, misa takatifu, joint masses n.k. Hakika...
16 Reactions
501 Replies
86K Views
Nimewahi kuomba namna ya kuipata prospectus ya chuo cha ATC lakini sijapata msaada na bado naihitaji. Pamoja na kuendelea na ombi langu ila najiuliza kwa nini chuo cha ATC hawaweki prospectus yao...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Yupi ana fursa zaidi za kujiajiri na kuajiriwa kati ya aliyehitimu Bachelor of Science in Chemistry na aliyehitimu Bachelor of Science in Chemical and Process engineering?
2 Reactions
8 Replies
536 Views
Wakubwa samahani, Mimi nimemaliza form four mwaka 2023 na nimepata division 2 point 20 nataka kwenda chuoni moja kwa moja. So Nilikuwa naomba mnijuze kozi za art ambazo soko lake la ajira sio gumu.
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Anonymous
Mimi ni Mdau wa Elimu ninayeishi Goba Mpakani, Mtaa wa Tegeta A, Kata ya Goba, kuna changamoto ambayo imejitokeza ni miezi kadhaa sasa inaendelea kuwa kikwazo kwa Watoto wa Shule kupata haki yao...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…