Hivi huu utaratibu wa mtu kusoma mfano Education (bila tourism hadi Masters) halafu afanye ka research ka Tourism apewe PHD
Eti kuanzia hapo atambulike kuwa amesoma Tourism hadi kupewa PHD naona...
Wasalaam wanajamvi, Mimi ni mdau wa elimu nchini nikiwa ni mzaliwa wa mkoa wa Pwani ila nimekulia Mkoa wa Mara. Kwa kipindi chote nilichokaa Mkoa wa Mara na hasa halmashauri ya Bunda mji...
Wakuu, baada ya kuweka Uzi hapa Jana juu ya project proposal yangu, Jana usiku wakuu wa shule tatu walinitafuta(mmoja ni WA shule ya public , wengine wa wa wili wa private school)na directors...
Habari wadau wa jf, nimemaliza six mwaka jana mwezi wa 5 mchepuo wa HGE nina ka one ya 9 with c flat. lakini nilishindwa kujiunga chuo mwaka huo kutokana na kushughulikia masuala yangu ya kiafya ...
Kwenye kitabu cha mwongozo, DUCE wana kozi mbili za Master zifundishwazo kwa mfumo wa online, nazo ni
- Master of Education in Educational Leadership and Policy Studies.
&
- Master of Education in...
Habari wakuu,
Wakuu Mimi ni Kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 23 hivi sasa, pia mwanafunzi wa moja ya Chuo kikuu hapa jijini na chukua shahada ya kwanza ualimu sayansi yaani bachelor of...
Wakuu kama heading inavyosomeka,
Elimu haina mwisho zaidi ni vile utakavyoamua kichwani mwako.
Nahitaji mwenye ufahamu mzuri juu ya chuo gani bora, ambapo naweza anza masomo online. Lengo ni...
Hello ndugu zangu , katka kurudisha fadhila kwa jamii nimepata wazo LA kupost basic mathematics series na advanced mathematics series kila siku ya jumamosi.
Wanafunzi katka vidato husika endapo...
Habari WanajamiiForums,
Naombeni mnisaidie kwa wale ambao wanafuatilia vizuri masula ya kujiendeleza kielimu hivi ni vyuo gani vizuri vinavyotoa distance learning?
Iwe kwa hapa nchini au njee...
Ni sahihi kwa serikali kuanzisha shule zake za English medium?Kigezo gani kitatumika kupata wanafunzi wanaotakiwa kwenda kwenye hizo shule?
Kuanzisha shule hizi kunaendana na wazazi kugharimia...
Mimi ni mwanafunzi niliechaguliwa kujiunga na kidato cha tano 2020 kwa tahasusi ya CBG lakin malengo yangu ilikua PCB au PCM na ufaulu wangu ilikua hivi:
CHEMISTRY C
PHISCS D
BIOLOGY C
GEOGRAPHY...
Shule private zinamfanya mtoto kuwa zombie mlegevu mlegevu hata kazi za nyumbani hawezi kufanya kutwa kulala tu.
Kwenye mitihani makaratasi et mara 100 ya masomo ya ajabuajabu tu afu kichwani...
RAIS shikamoo,
Pole na Hongera sana kwa majukumu mazito ya kusukuma gurudumu la taifa letu. Mheshimiwa RAIS naandika BARUA hii nikiwa na majonzi mazito sana moyoni mwangu. Mheshimiwa RAIS...
Nina kero kadhaa kuhusu Shule ya Msingi Kiswahilini inayopatikana Wilaya ya Sikonge, Kata Igigwa, Kijiji cha Tumbili, Kitongoji cha Kiswahilini yenye Wanafunzi 300 ina changamoto kadhaa
1. Mbali...
Kuna jamaa yangu yupo Dodoma alikuwa na mtoto Marangu sekondari Moshi sasa akapata changamoto ya ada baada ya mwanae mwingine kuugua mpaka kufanyiwa upasuaji. Huyu Dogo mwanafunzi...
Salamu wakuu,
Kama mada inavyosema hapo juu nina shauku ya kujua mahali ambapo kuna madhehebu au sehemu ambayo kuna watu wanatoa elimu ya watu wasioamini uwepo wa Mungu nahitaji kujua maana nina...