Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Download scheme of work (edit) na tumie. kumbuka kuedit ipasavyo. punguza uvivu. NARUDIA TENA! Edit Lesson plans nazo zipo za masomo yote, lkn edit! please edit zikufae! NI BURE KABISA! ingia...
0 Reactions
0 Replies
460 Views
Habari, Naomba kwa yeyote anaejua kampuni au sehem nyingine ambapo wanapokea wanafunzi wa field kwa kozi ya degree of marketing and public relations mkoa wa Mbeya.
0 Reactions
0 Replies
509 Views
Kwa wewe mwalimu wa shule ya msingi mwenye uhitaji wa andalio la somo shule ya msingi kwa mwaka mzima mada zote, zipo tayari na unaweza kuzipata popote ulipo Tanzania. Uaminifu kipao mbele na...
0 Reactions
0 Replies
500 Views
Naomba anayeweza kunisaidia jibu. Hebu angalia swali la kwanza a(I)
2 Reactions
47 Replies
2K Views
Anonymous
Baadhi ya shule za sekondari wilaya Mbinga zimeanzisha hostel bubu ambazo hazifai kwa matumizi ya wanafunzi hususan wa kike hasa madarasa ya mitihani na hata zile shule zenye hostel za wasichana...
1 Reactions
13 Replies
954 Views
Salaam wakuu. Naombeni ushauri ni ufundi gani upo vizuri kwenye Kipato kati ya kuwa fundi wa kutengeneza magari upande wa umeme wa magari na uchomeleaji(welding)?.
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Wakuu tunaomba kujua kama madaraja ya mserereko mwezi March na April yatekelezwa kwa waliokidhi vigezo.May mosi ibakaribia!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu kuna tatizo kubwa katika hili suala nililowasilisha hapo juu. Shule nyingi kuanzia chekechea hadi kidato cha sita zina matatizo makubwa haswa zile zinazotoa ufaulu wa kiwango...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Habarini WanaJF, Mimi ni mhitimu wa Diploma ya Ualimu shule za msingi mwaka 2019...nikiwa na GPA ya 4.0 Naombwa kufahamishwa kama inawezekana kwangu kuweza kusoma Bachelor of Education in...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Wakuu mimi ni 26 Me, mzaliwa wa kanda ya ziwa, taaluma yangu Medical doctor degree, nimeletwa na mambo mawili; Kwanza Naota nakula sana mara nyingi ni wali na matunda na muda mwingine unajaribu...
9 Reactions
45 Replies
4K Views
Habari wanaJF. Kama kichwa kinavyosema, huwa naona ukitaka kwenda masters au postgraduate diploma ni lazima uwe na degree? Ukiangalia qualification za kujiunga zinafanana, ukiangalia namna ya...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuongeza uwajibikaji na juhudi, kuongeza thamani ya Elimu, kuondoa uzembe na udanganyifu maana supplement hufanyika ikiwa mwanafunzi yupo nje ya program ya mafunzo, kuondoa Rushwa ya Hela na...
2 Reactions
5 Replies
808 Views
Eti jaman chuo gani cha private chenye ada nafuu na bora kwa upande wa diploma ya medical laboratory . Ambacho mtu anaweza kumalizia diploma bila shida.
0 Reactions
0 Replies
974 Views
Viongozi naombeni mnisaidie kujuwa Shule ipi ya girls ni Bora kweny ufaulu ya advance combination HGE au HGL. Location Dodoma:
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wandugu wasalam, Naomba kuuliza kwa wale waelewa wa mambo ya vyuo nchini Canada. Ni vyuo gani kwa majina ni rahisi kupata admission for international students hawahitaji IELTS na pia tuition fee...
1 Reactions
5 Replies
729 Views
Enyi wana jf elimu ni kazi kama kazi nyingine, kijana anapo hitimu chuo ni haki yake sasa kupata nafasi ya ajira ili elimu yake imlipe kwa kutoa huduma kutokana na alicho somea. Sasa unakuta...
5 Reactions
8 Replies
588 Views
Naomba kutanguliza shukrani za dhati kwenu. Je, mnajua kwamba Pharmacy ndo kozi ngumu pia ndiyo inayoongoza kwa michongo ya kujiajiri na kuajiriwa bongo. Cheti cha pharmacy kinaweza kukuingiza...
11 Reactions
148 Replies
55K Views
Hbari waja-Jamii Forum, Nakuja kwenu kuomba msaada wa uzoefu kwa wale ambao tayari wamepita huko, kupata VISA ya US hususani kwa mtu anae kwenda kusoma nje (USA), Nachotaka kufahamu ni challenge...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Top 5 Degree programs kwa Mchanganuo ufuatao wa masomo Waliosoma Physics na Mathematics(PCM,PGM) 1.Electrical Engineering 2.Civil and Irrigation Engineering 3.Mechanical Engineering 4.Chemical...
28 Reactions
145 Replies
33K Views
Wadau salaam! Naombeni mnitajie shule za binafsi zinazofanya vizuri katika mchepuo wa EGM. Ziwe katika mikoa ya Tanga, Arusha au Kilimanjaro Natanguliza shukrani.
0 Reactions
0 Replies
647 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…