Kumekuwa na changamoto ya mazingira ya chakula hasa katika hizi Shule za Serikali zinazowaweka Wanafunzi bwenini.
Mara kadhaa Wanafunzi wamekuwa wakilalamikia uhaba wa chakula lakini suala hili...
Tunaomba Mtufikishie malalamiko haya Ngazi za Juu
Habari wahusika wa Mtandao wangu pendwa wa Jamii Forums,
Kuna shida Mwanza katika Chuo kikuu cha SAUT ambacho ni takribani miezi minne sasa...
Kuna baadhi ya wanafunzi wa Bachelor's walichaguliwa kujiunga na chuo mwaka jana wakapokelewa chuoni na wazazi wakalazimishwa kulipa 60% ya ada halafu sasa hivi wazazi wanapigiwa simu na kuambiwa...
Kwa wenye kumbukumbu nzuri, mtakumbuka kipindi Rais akitanganza azimio la kuondoa ada kwa shule za msingi za umma. Rais alitaja shule sita kuwa shule hizi zitaendelea na utaratibu wa ada na kati...
https://www.math.tugraz.at/~elsholtz/WWW/papers/papers14faber.html
https://explainingscience.org/2019/09/01/the-goldbach-conjecture/
Mnamo 1742, Mwahisabati nguli kwa jina la Christian Goldbach...
Kwa Mujibu wa Jarida la Higher Education University Ranking,Tanzania imeingiza Vyuo Vikuu 2 kwenye List ya Top 10 Best Universities..
Vyuo hivyo ni Muhimbili University of Allied Sciences nafasi...
Salaam,
Dogo anapitia changamoto anashindwa kulog in katika hizi akaunti zao za Selform ili kuedit Machaguo, kwa mliofanikiwa mmefanyaje maana nimejaribu pia nimeshindwa.
Username inayotumika ni...
Kuna mdogo wangu alisoma PCB form six akafaulu kwa div one.
Aliomba chuo mwaka jana course za afya lakini hakufanikiwa akadai ataenda chuo mwaka huu 2024/2025.
Mwaka huu anasema anataka akasome...
Jamani mimi kijana umri wangu miaka 26 niko Mbeya, elimu yangu ni degree niliyoipata katika chuo cha udom na fani niliyosomea ni ualimu kwa bahati mbaya sijaajiriwa lakini bado najitafuta.
Kwa...
Mtaala mpya unapendekeza Walimu wa vyuo vya Kati vya ualimu wawe na shahada ya Pili (master degree) ya Elimu je utekelezaji wake umeshaanza?
Je wale ambao wapo mpaka Sasa vyuoni na hawana sifa...
SANAA YA MUZIKI HAIPEWI NAFASI MASHULENI LIKIJA SUALA NZIMA LA UIPUAJI WA VIPAJI MASHULENI TOFAUTI NA ZAMANI..
Serikali imekuwa ikiimiza michezo mashuleni ili kuibua vipaji na kuendeleza ...
Hivi zile slides ambazo walimu vyuoni wanakimbizana kumaliza Kwa haraka huku wanafunzi wakishindana kukariri (Kuzima moto) zina Ufanisi wowote au tunazidi dumaza elimu yetu?
Chuo cha uhasibu Arusha (IAA) kimekuwa na gharama kubwa ya malipo ya Ada kulinganisha na vyuo vingine vya serikali pia mlipaji hapewe mchanganuo wa malipo hayo ya Ada.
Kiasi kilicho pelekea...
Chuo cha DMI (Dar es Salaam maritime institute) kuna changamoto wanafunzi tunapitia.
Watu wanalipa ada na pesa ya usajili ambayo kwenye iyo pesa ya usajili wamechanganua kua kuna kupatiwa ID...
Nakumbuka kila assignment tutakayopewa either iwe individual au group sisi tunatumia tu bot letu kwisha kazi hakuna cha kwenda library wala nini, kwnz hata discussion hakuna ni bot ty daaah hili...
Naomba msaada wa uelewa kwa wale wanafunzi walio hitimu vyuo vya kati ngazi za diploma na wakawa wamepata vyeti katika mfumo wa NON NTA.
Kwa maana nyingine walio soma certificate mwaka mmoja na...
Habari za wakati huu wana jamiiforum
Kuna ka swali hapa ka O level kana sumbua hivyo nataka kuwasirisha kwa watabe wa jamii forum ila niweze kupata solution yake
SWALI :
2^(8-x) = 8x
Yaani...
JamanI naomba ushauri Kati ya Chuo cha afya Lugalo na kibaha kipi kizuri zaidi cha kwenda make mdogo wang kapata hivyo vyote wamemuhita sasa kipi kizuri cha kwwnda?
Na je, ada zao zipo sawa ama...