Ninaomba mwenye uelewa wa shule nzuri kielimu kuanzia chekechea hadi msingi Ninaomba anijulishe,jina la shule ,gharama zake na hata namba za simu kwa jijini Mbeya Ninaomba anijuze...
Wataalam wa elimu hii division three au four? Kama ni division 3 ni division three ya ngapi?
Civics C pass
History C pass
Kiswahili C pass
Commerce C pass
English D pass
Biology D pass
Georgraphy...
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeanza kutoa mikopo ngazi ya Diploma kupitia bodi ya HELSB
MWONGOZO WA UTOAJI MIKOPO KWA WANAFUNZI WA STASHAHADA KWA MWAKA
WA MASOMO 2023/2024
MAELEKEZO...
Habari wakuu. Kijana wangu anaandika mtihani wa darasa la saba wiki ijayo.
Najaribu kutafuta na kulinganisha shule za sekondari kwa ajili yake. Anapenda sana masomo ya sayansi, hasa kwa vitendo...
Nina mdogo wangu nataka kumsaidia asome ufundi, lakini nikimtazama umbile lake, urembo wake nashindwa kumtaftia nini cha kusoma.
Angekuwa wa kiume ningempeleka VETA Shiyanga asome iether machine...
Salaam wajuzi wa mambo.
Nimemaliza kidato cha nne, nina kiswahili C, English C, chemst D, biology C. mengine nimefeli yaani F.
Lakini natamani kuwa hakimu, naomba kuuliza kwa ufaulu huu naweza...
Mimi ni mkazi wa Tabora, kuna hoja naomba nishee na Wana JF, ipo hivi, Watoto ambao wanasoma Shule ya Sekondari Sikanda kama akichelewa kuripoi hata kama ni siku moja tu, mzazi wake anatakiwa...
Baadhi ya Shule za Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto zimekuwa Mzigo kwa jamii kwani Bado shule hizo
Mfano wana waagiza wanafunzi Review ( rejea)za masomo kitu ambacho rejea hizo zilipigwa marufuku...
Habari wakuu,
Nimekuwa nqjitahidi kuomba scholarship za nje, master's degree, lakin nakosa toka mwaka juzi. Niliomba Pan African, Korea, na UK.
This time nimeomba Pan African, na kwa wiki hii...
Staff na alumni wenzangu hili vipi? Tutumie nyenzo ipi kueleweka?
Kwanini basi VCs kwenye vyuo hawalalamiki hali ya vyuo vya serikali sasa hivi?! Acha niongelee chuo kinachonihusu. Mzumbe...
Niko nimekaa na dogo hapa namhoji kidogo habari za chuo na maendeleo yake! Yeye anasoma UDSM college moja iv ya science.
Dogo ananiambia et wenyewe hata usipo fikisha course work ilifika UE...
Habari za midahii wana jf.Mimi kama mtanzania ningependa kufahamu mchiyetu ina majiji mangapi kwani paka sasa nasikia ni matano, nayo ni Dar es salaam,Mwanza,Tanga,Arusha na Mbeya. Je ni vigezo...
Habari za wakati huu wakuu,
Nina Mdogo wangu Amemaliza certificate ya Ualimu Tabora Teachers college Grade A , ila Nilitaka ajiendeleze apate Diploma Ila kwa bahati mbaya sijapata chuo...
Kupata $1 mpaka $5 kwa siku
Ni rahisi ukijifunza hizi skills
1. Audience building
2. Copywriting
3. Sales & Closing
4. Offer creation
5. Affiliate marketing
6. Content creation
7. WhatsApp...
Kuna Chuo kinaitwa Blue Pharmacy College of Health kipo Singida Mjini mbele ya Serengeti Pub kina hosteli za Wadada zipo opposite na Cheyo Lodge.
Concern yangu ni hizo hosteli zipo kwenye danguro...
Tatizo la ukosefu wa ajira limekuwa ni kilio kwa vijana walio wengi, ambapo takwimu zinaonyesha kuwa ni asilimia kumi 10% tu ya wahitimu huweza kupata ajira rasmi kila mwaka. Huku asilimia 90%...
Habari zenu wakuu,
Kama post inavyoeleza hapo juu. Nimepost hapa kutafuta watu ambao nitashirikiana nao kuendesha chuo changu. Chuo kimesajiliwa kipo kwenye mazingira mazuri sana.
Nimepost hapa...