Ni dogo ambaye ndoto zake ni kusoma special school kati ya ilboru, Mzumbe, Tabora boys kwa mchepuo wa PCB, alikua vizuri sana Physics ila imemuangusha maana mitihani ya shule alikua anapiga A ila...
Hii kali sana kweli ngozi nyeusi ni nyeusi tu..
Rafiki yangu aliepo MUHAS, katika story za hapa na pale akawa ananielezea kuwa licha ya JOTO la Dar hili lote madarasa wanayotumia kusomea na yenye...
Nina mdogo wangu yupo zanzibar amepata matokeo ya Form four :
HISTORY D
Geography D
KISWAHILI C
Anaweza akapata chuo zanzibar?
Chuo gani?
Course gani anaweza kusoma?
Habari ya muda wanajamvi. Nimejaribu kufuatilia udahili wa vyuo vikuu kwa miaka mitano nikagundua hamasa ya watu kusoma master's degree imepungua sana.
Hata mtaani ni wachache sana utasikia...
Position: PhD Student (1 post)
Reports to: Project Leader
Work station: Bagamoyo
Apply by: February 15th 2024
Duties and Responsibilities
She/he will also be responsible for supporting the MSc...
Habari, Nimemaliza kidato cha nne mwaka jana 2023 katika masomo ya biashara nilikuwa naomba ushauri Kati ya kwenda advance level education au chuo.
Nk. Ninamatamanio ya kusomea Uhasibu.
Asante.
"Watoto wetu huku Mbagala kwa Makusudi kabisa wakimuona Mtu tu mwenye Ugonjwa huu wa Macho wa Red Eyes wanaenda Kumshika na hata Kugusisha mikono yao na Macho ya hao Wagonjwa kisha kujigusa katika...
Ualimu ni kazi nzuri Sana. Inavutia Sana kuifanya kwa moyo. Nakumbuka nikiwa darasani nikiwalekeza watoto napata Raha sana mwanafunzi anapoelewa na kuelezea(demonstrate) like jambo.
Nilikuwa...
NB: Mada husika ipo kwenye paragraph ya pili.
Heshima kwa wanajukwaa wote, baada ya salamu naomba niende moja kwa moja kwenye jambo la msingi.
Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka 2022 na...
Jumla ya Wanafunzi waliosajiliwa kufanya Mtihani wa Kidato cha 4 mwaka 2022 walikuwa 534,753 lakini waliofanya Mtihani huo ni 522,217 ambapo Wasichana walikuwa 280,251 na Wavulana 241,966. Tafsiri...
Wanabodi,
Kuna msemo wa kizungu usemao, "numbers don't lie" yaani numbers, haziongopi!.
Japo mimi nilipokuwa primary School nilikuwa mzuri wa hesabu, sekondari nikakutana na Additional...
Wakuu tumsaidie huyu dogo mana nimekosa Cha kumshauri kwa Sasa, Matokeo ya Kidato cha Nne yametoka
Huyu binti kapata Division Four ya 30.
Civics D
Kiswahili D
History D
Geography D
Biology C...
Wizara ya Elimu imekamilisha mtaala Mpya wa Elimu ngazi ya msingi ambapo Watoto wataishia darasa la Sita huku idadi ya masomo ikiongezeka.
Pamoja na hayo Mtaala inaonesha masomo ya Lugha...
Wadau mliosoma uwalimu Haswa walimu wa lugha kwa level zote diploma na degree. Kuna yoyote anayekumbuka kujifunza juu ya sera ya lugha ya Tanzania.
Katika kozi ulizosoma chuo je kunakozi yoyote...
Naomba kuuliza kama mtu umejiajiri na unatamani kujiendeleza kimasomo kwenye fani ya usimamizi wa fedha ...ni Bora kusoma kipi kati ya hizo program mbili na kati ya hizo ni ipi ambayo itakupa muda...
Hakika ningejua nisingepoteza muda wangu kwenda kusoma form five na form six. Advanced secondary education is completely a wastage of time and resources.
Mjomba wangu alinishauri nilipofika form...
Wakuu, nipeni uzoefu katika hilo tafadhali. Mimi na rafiki yangu tumepanga nyumba ndogo ambayo tunatumia kama madarasa pamoja na ofisi humo humo, sasa tupo katika mchakato wa kujipanua shule bado...
Wanabodi,
Nimekuwa nikipitia matokeo ya form four kwa baadhi ya shule za Zanzibar, kwa shule nyingi nilizopitia, nimeshangazwa kukuta Div I, Div II, na Div III ni chache sana!, kule zimejazana...