Bonjour
Mwezi may ninampango wa kufanya hiyo mitihani ya bodi ya uhasibu,
Mwenye pdf material za haya masomo naomba anisaidie , nianze kupiga msuli mapema..
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya Upimaji kwa darasa la Nne na Kidato cha Pili kwa mwaka 2023 mchana wa leo.
Soma Pia Matokeo mengine kuanzia 2009
NECTA imetangaza...
Ningependa kujua kiundani juu ya kozi hii ya BAF ni kivipi mtu aliesoma anaweza kunufaika na sehemu ambazo mtu anaweza kuajiriwa.
Nakaribisha wataalamu kwaajili ya maelekezo.
Baraza letu la mitihani pamoja na wadau wa elimu wafanye utafiti wa kina ila kubaini tatizo, kwa nini wanafunzi wanafeli kila mwaka kwenye masomo haya;
1. Basic Mathematica
2. PHYSICS
3...
Shule ambazo mtoto anaenda asubuhi na anarudi jioni saa 11 ama saa 12 jioni sio nzuri kwa future ya mtoto.
Mtoto anapaswa atoke shuleni mapema. Ili awe na muda wa kujifunza skills za mtaani
Siku...
Heshima kwenu wakuu.
Kama kichwa hapo juu kinavyojieleza. Nina mdogo wangu alifanya pepa ya form 4 mwaka jana (2020) lakini matokeo yametoka amepata Division Zero(0)
Nawezaje kumsaidia huyu...
Habari Zenu Wakuu? Natumai nyote mko poa humu. Naomba niende moja kwa moja kwenye lengo la chapisho hili.
Mimi ni Mwanafunzi wa Chuo cha Mipango, Level ya Shahada ya Mipango na Usimamizi Miradi...
Habari
Nina mdogo wangu alimaliza 2020 Sasa naona ameonja onja makali ya kitaa anataka nimpeleke Tena shule
So Kama unajua kituo kizuri kwa masomo ya sayansi chenye maabara kabisa nitashukuru...
Wale wenye watoto waliomaliza kidato Cha NNE 2023 mmejiandaaje kupokea MATOKEO ya watoto wenu hapo kesho saa 5.
Na hapa ndo tutaona jinsi wazazi huwa tunachanganyikiwa kuliko watahiniwa.
Ebu...
Wakuu habari za uzima?
Nilikuwa nahitaji kufahamu shule zinafondisha watoto kupiga ala za mziki.
Nahitaji kumtoa mwanangu kanisani sababu mwalimu anayemfundisha mda mwingi anakuwa busy...
Naomba Team mnipe hatua zamsingi za kuzingatia ili kujiandikisha kuridia mtihani wa kidato cha nne.
(Mhitaji anataka kituo tu, yeye atajisomea online).
Wakuu mtoto majina yake yalikosewa sana kuandikwa kwa usahihi wakati wa usajili darasa la saba, jina Lake na jina la Baba. Hivyo alianza kidato cha kwanza kwa majina hayo hayo licha ya kupambana...
Habari njema!
Hospitali nchini China hutibu saratani kwa kugandisha uvimbe na kisha kuuondoa bila kutumia chemotherapy:
Hospitali maalumu kwa ajili ya kutibu aina zote za uvimbe hasa saratani...
Habari watu wote wa hili jukwaa la elimu.
Leo kuna mtoto wa kaka angu amekuja na hii chemsha bongo na kusema ukweli naona kuna kila dalili ya mimi kuchemsha.
Iko hivi" Nguo dukani inauzwa...
Msaada wakubwa Ni kozi gani bora kwa sas kusomea apa tanzania ambayo haitokufanya huaso mtaani ukishasoma na pia inaweza ikawa na opportunity ya kuajiriwa na kujiari.
Shule ya msingi Kitanda ni shule ambayo ipo katika kata ya Kitanda halmshauri ya Mbinga mji ,ni shule ambayo ipo kilometer 15 kutoka makao makuu ya halmshauri ya Mbinga mji na makao makuu ya...
Kichwa cha habarii chajieleze natafuta chuo cha veta kizuri jijini mwanza
Ambacho kinatoa kozi ya ufundi umeme wa manyumbani pia umeme wa magarii
Pia ambacho vyumba vya kupanga sio bei ghalii na...
Nilikuwa muumini wa muddy physics, pamoja na kuwa jamaa hakuwa na exercise nyingi na kusolve maswali kama Mgote ila jamaa alikuwa na uelewa mkubwa sana na physics. Mgote yeye amekariri tu na...