Wale tuliopitia uzumbeni tusikose graduation ya wadogo zetu form 6 itakayo fanyika mwezi wa 4. Binafsi nilikuwa na ishi mkwawa01 village nikiwa a-level. Pia pongezi kwa ex-mzumbe kwaajili ya...
Najua humu kuna watu wanafanya tafiti au kuandika machapisho mbalimbali, iwe ni sehemu ya kazi au kitaaluma n.k.
Inawezekana labda nyaraka zako unaziifadhi kwa pdf, na ungependa kuzifanyia...
Mapendekezo yamesambaa kila kona. Ni mpuuz pekee atasapoti kufuta somo la uraia na general studies
Kuona mwalimu mwenye degree anajua kuliko mwenye diploma katika level za sekondari ni mjinga...
nimeleta hii mada tuwa tafakari hawa vijana wamalizapo chuo au kama wamemaliza chuo mda zaidi ya miaka miwili na zaidi ujiona kila kitu kwao wapo zaidi ya walio mtaani kimaisha.
maana hayashauriki
Wakuu habari za Jumapili,
Niseme, mwaka huu 2023 nimehitimu Shahada ya Umahiri ama Master's Degree kwenye fani ya uchawi na ushirikina chuo kikuu.
Kwenye kuisoma hiyo fani, kilichonishangaza...
Watoto wa shule wenye umri wa miaka13-17wanapakiwa kwenye gari na kupelekwa shamba kwa nakubaliana ya malipo ya7000 kutwa baada ya kazi ya kupanda.Je hii ni dawa?
Jmn wanandugu habari zenu naomba msaada wenu nataka kujua na kujifunza kichina ni WAP naweza kujifunza kichina icho maana kuna Siku nlisikia kweny redio kuna chuo wanafundisha bure cha wachina...
Ninashindwa kujua ni ipi kanuni ama mwongozo wa mitihani ya mock Tanzania, ninauliza maana sina uhakika kwamba hiyo inampima mwanafunzi kwa kiwango kipi yaani ufauli ni upi? ama kufeli ni alama...
Jamani tunaomba msaada sisi wana UDOM.
Sikatai madarasa mazuri kabisa na pia masomo yanaenda vizuri na walimu wanafanya kazi vizuri sana lakini shida ni vyoo jamani.
Vyoo vimejaa balaa na hivyo...
Habari, Naomba tujadili hili ni sawa?
Tarehe 3 January 2024 bodi ya mikopo ilitangaza kuongeza KOZI mpya tatu zitakazonufaika kwa mikopo diploma na kueleza kuwa maombi ya mikopo yataanza tokea...
Hii Shule kwenye matawi yake yote ya Dar na Dodoma wanalazimisha watoto wa darasa la 4 na 7 kuanza masomo saa 12 asubuhi na wanamaliza kusoma saa 11 na nusu jioni. Yaani watoto wadogo wa miaka 7...
Tumeendelea kutoa masomo kwa njia ya Mtandao. Yaani Online Learning. Utaweza kujipatia mafunzo popote ulipo kupitia mfumo wetu wa kidigitali wa ufundishaji. Utaweza kuonana na walimu ana kwa ana...
Habari zenu wadau wa elimu? Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha. Awali ya yote napenda ku declare interest kuwa mimi ni mwanafunzi wa zamani na mshauri wa masuala ya...
TAARISA YA FURSA YA MASOMO NGAZI YA UMAHIRI, PROGRAMU YA SERA YA UMMA NA UCHUMI KATIKA CHUO KIKUU TSUKUBA NCHINI JAPAN
Ubalozi umepokea taarifa kutoka Chuo Kikuu Tsukuba kilichopo nchini Japan...