BURIANI BI. ZAINAB SYKES
MUHIFADHI WA HAZINA YA NYARAKA ZA HISTORIA YA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA
Baada ya kupata taarifa ya msiba wa mama yangu Bi. Zainab Sykes baada ya mshtuko kupita...
NINAVYOMKUMBUKA MAALIM
Kumtembelea Maalim Seif nyumbani kwake ni mfano Waingereza wangesema ‘’a walk in the park,’’ Kiswahili chake labda mtu ungesema unatoka chumbani kwako unakuja sebuleni...
MAALIM: "THE GREATEST OF ALL TIME" KUTOKA CUF HADI ZAMBARAU
Washehereshaji wa masumbwi Muhammad Ali alipokuwa ulingoni waliongeza kibwagizo katika kumtambulisha.
Baada ya kutaja jina lake...
Kama kichwa cha Habari kinavyojielekeza
Simba dume maisha yake ni ya Furaha na huzuni Kubwa sana
Wanapozaliwa simba katika kaya yao na Mama zao wanalelewa wote kwa pamoja na Dada zao
Wanapofikisha...
Jamani samahanini wadau naomba kuuliza kwa wale wakali wa QADIRIYA kuna yeyote anayeijua kwa ufasaha historia ya SAYYID OTHMAN BIN MUHAMMAD NUR wa Tunduni Mchangani Zanzibar?
Kama yupo tafadhali...
Nyaraka nyingi na picha za historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika zipo mikononi mwa watu binafsi.
Nimepata picha kutoka kwa watoto wa akina Dossa Aziz, Sheikh Abdallah Chaurembo, wanafunzi wa...
JAJI MARK BOMANI KATIKA KUMBUKUMBU ZA PROF. KIGHOMA MALIMA UCHAGUZI WA RAIS DODOMA 1995
Nimesoma makala ambayo imezunguka sana katika mitandao ya kijamii kuhusu Mark Bomani katika kinyang’anyiro...
Ni kweli mababu zetu, ndugu zetu tumepoteza sana kwa hawa leo tuna sema wana demekrosia wana haki za binafamu wana umoja wa mataifa.
Afrika ilikuwa na historia yake ila kwa wale wana siasa na...
BURIANI ASAYYID SHARIF HUSSEIN AHMAD BADAWIY
Shariff Hussein Badawiy kaacha athari kubwa sana Dar es Salaam katika usomeshaji wa Qur'an Msikiti wa Badawiy (sasa Rawdha) hadi pale alipofukuzwa...
PLUS TV BURIANI MAALIM: WAPI MAALIM KAFANANA NA MWALIMU?
Leo asubuhi Plus TV walinitembelea nyumbani kunihoji kuhusu vipi Maalim alivyojenga Demokrasia Tanzania.
Kipindi cha saa nzima...
Maalim Seif akizungumza na Mwandishi (haonekani kwenye picha) nyumbani kwake Dar es Salaam
Mwandishi akimkabidhi Maalim Seif kitabu cha Kumbukumbu za Ali Muhsin Barwani ''Conflict and Harmony...
Hapo ni baadhi ya Ma Chifu wa enzi hizo. Wanaonihusu hawaonekani vizuri. Kwenye maktaba yangu nahitaji kuweka mambo sawa sasa
bahati mbaya picha imechakaa. Nillipata jamaa yangu alileta kazini...
LEO SIKU IMETIMU NA ALLAH KADHIHIRISHA KILA KITU BURIANI MAALIM
Unatafuta ushahidi wa mapenzi ya Wazanzibari kwa Maalim?
Hili ndilo jibu.
Hayajapata kuonekana Zanzibar maziko kama haya.
Hawa...
VIFO VYA MABINGWA WA SIASA ZA ZANZIBAR VILIVYOPISHANA MUDA MFUPI: DKT. MUHAMMED SEIF KHATIB NA MAALIM SEIF SHARIF HAMAD
Nikiwa bado katika maombolezo nimeingia Maktaba kuangalia picha na makala...
Kama umesahau Basi nakukumbusha wachache.
Alistabrus Elvis Musiba - Kufa na kupona, Njama, Kikomo
Faraj Hassan Hussein Katarambula - Simu ya Kifo, Pili Pilipili.
Hawa waandishi vitabu vyao...
HATARI KATIKA UKWELI WA HOFU: KISA CHA DEREVA WA GARI LA FARASI NA WAGENI WA COUNT DRACULA
Kuna movie ilikuwa maarufu sana katika miaka ya 1960 iliyochezwa na muigizaji ambaye alijipambanua...
KUMBUKUMBU YANGU FUPI YA MOHAMMED SEIF KHATIB
Mara yangu ya kwanza kukutana na Mohammed Seif Khatib uso kwa macho ilikuwa Makka wakati wa Hijja mwaka 1998.
Balozi Ramadhani Dau alinichukua...