Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
1. Mvumilivu hula mbivu 2.Polepole ndiyo mwendo 3. Haraka haraka haina baraka 4 5.... Natamani iwe kinyume chake. Nakupenda Tanganyika
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mara nyingi sana tumezoea kuona vicharazio vizuri na vingi vikiwa katika lugha za kigeni,hii imesumbua sana wengi kwenye simu zao hata pale inapokuwa on kwenye auto orrection. Wengi hulalamika...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Salamu wan JF. Naomba mwenye soft copy ya Kamusi Kuu ya Kiswahili
2 Reactions
1 Replies
898 Views
FAHAMU KUHUSU TUNZO ZA USHAIRI TANZANIA Kuanza kwake na dhumuni la kuanzishwa kwa tunzo hizo. Taratibu,sheria na kanuni za kumpata mshindi Nusra M. Haji...
0 Reactions
1 Replies
36K Views
Wajuzi wa lugha hili neno linatumiwa sana na wadau mbalimbali,hivi nini hasa tafsiri yake?na je ni wakati hutakiwa kutumika?Je twaweza kutoa mifano? Aksanteni
0 Reactions
24 Replies
8K Views
Habari za majukumu ndugu zangu, Nimekuwa nikijiuliza faida ya vitendawili, ngano, methali na lugha nzima ya kiswahili kwa ujumla ni nini mpaka imekuwa lugha ya taifa? Amini usiamini lugha ya...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
wanaojua hii lugha wanieleweshe jamaa alifanya nini yakamkuta, aliiba au ni mambo ya kutembea na wake za watu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimevutiwa na na hili neno wakuu,nimelikuta hapa hapa JF na maana yake nimeijulia hapa.. Juzi nimejaribu kumwita rafiki yangu kwa jina hili, akaniambia tena yeye ni kilaza haswa, nikamuuliza...
0 Reactions
33 Replies
20K Views
Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na hii dhana ya uchochezi hasa kupitia mitandao ya kijamii. Dhana hii sasa imekuwa ni kibano kikali kwa watoa maoni wote katika mitandao na wengi wetu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nkekuwa nasikia mara nyingi neno kuhonga likitumika sana utasikia gari lile mbona kahongwa au simu ile kahongwa tu hana lolote kwa anayejua maana yake.[emoji122]
0 Reactions
5 Replies
15K Views
Tunaweza tulaumu tu hata maana ya makanikia hatujui?
2 Reactions
19 Replies
16K Views
Naomba kujua matumizi ya hayo maneno kuoneshe "signature" lipi ni rasimi?
1 Reactions
42 Replies
23K Views
Wakuu wa jukwaa, wakubwa kwa wadogo habarini, nimekaa nmetafakari sana nmeshindwa kupata jibu na kung´amua kiundani. Tafadhari ninaomba mnisaidie kwa faida yangu, kizazi hiki na kijacho. Nini...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Naomba kuondolewa ujinga, nimeulizwa na mtoto mdogo anayesoma darasa la tatu nimeshindwa kumjibu na kuishia kumpigia stori nyingine ili asahau swali lake, lakini kamekomaa kila muda...
1 Reactions
116 Replies
59K Views
Kwa mantiki hiyo kibantu ni nini? Na kwa nin kimasai co kibantu?
0 Reactions
47 Replies
14K Views
Bado unasema Kiswahili ni lugha nyepesi eti kwa kuwa tunaelewana tu!!!?Tazama....... KIINGEREZA------KISWAHILI Device-------------Kitumi Photocopier------Kinukuzi... Duplicating Machine --Kirudufu...
5 Reactions
37 Replies
16K Views
*Pa Pa Pa* (Kimya) *Pa* - Kezilahabi, 2008 [Kwenye Diwani ya Dhifa] *Tafakuri Fupi Juu ya Shairi Hilo* Ushairi ni taaluma kama taaluma nyingine tanzu. Maudhui katika Ushairi...
0 Reactions
1 Replies
799 Views
POLE TUNDU LISU. 1)Maisha ya mwanadamu,yamejawa na mikasa Mirahisi na migumu,mapito mengi na visa Inapomwagika damu,nchi inajitikisa Pole sana ndugu Lisu. 2)Ulihamka salama,kazini kuelekea...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
1. Fumbo ninawafumbia, wajuaji mfumbue, Ni siri nawaambia, werevu na wategue, Ni swali nawarushia, Malenga jitutumue, Ndege huyu ndege gani, Na makinda yake mia? 2. Apendeza kama nini, hilo...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za muda ndugu, jamaa na marafiki? Mada tajwa ni swali tosha kuwakamata kidato cha nne, cha sita na hata wanazuoni ambao wamewekeza katika elimu, hususan lugha ya kiswahili. NECTA, TUKI...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…