Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Money ni kingereza, fedha asili yake ni kiarabu, hela ni kijerumani, pesa ni kireno. Shilingi na noti ni kingereza. Kwa kiswahili asilia money ni nini. Umasikini wetu unaanzia hapo! Na ukiona...
0 Reactions
35 Replies
7K Views
IHAIDI AFRIKA 1)Uliahidi kaka yangu,kulilinda bara langu Waumiza moyo wangu,kuiacha nchi yangu Uwapi utu wangu,siwaoni ndugu zangu Iwapi ahadi yako,kulinda wadogo zako ? 2)Niliahidi kaka...
1 Reactions
3 Replies
821 Views
Kama swali nilivyouliza hivi hili neno kigogo linamaanisha nini? Na ili mtu uwe kigogo unatakiwa kuwa na sifa zipi,? Na huo ukigogo ni Cheo au neno tu la kumkuza mtu furani? Note...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Ningependa kuomba msaada katika tafsiri ya neno hili la kifaransa kwa kiswahili [emoji116][emoji116] Ver 'fait Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mke mmoja hatoshi,sisemi alimradi Nawala sibahatishi,kama wachimba migodi Ngoja endezake moshi,ukung'utwe na baridi Mke mmoja hatoshi,jikusuru na wawili. Kama utakapo huba,basi ongeza idadi Taona...
1 Reactions
14 Replies
7K Views
As explained above anybody whom knows a meaningful of that word bellow in swahili may help please [emoji116][emoji116][emoji116] (Alley_____) Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Kwamfano utamkuta mwamke kazaa anabadilishwa Jina lake nakuitwa Jina la mtoto wake aliomza upi usahihi wa kuitwa kwa mfano mwanawe Jina: AMINA: 1: mama amina 2: maa amina 3: mama yake amina 4...
0 Reactions
26 Replies
39K Views
Sabalkheri wana Jamii Forums?. Ni mara kadhaa umewahi kusikia, ama kusoma mahali fulani usemi huu, "Mimba za utotoni". Inawezekana kabisa wanaolitumia neno hili "Utotoni" ama hawana ufahamu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu, Naombeni msaada kwa wale wataalamu wa Lugha ya Kiswahili. Nini tafsiri ya neno Ex-Officio kwa Kiswahili fasaha. Wasalaaam!
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Naomba nisaidiwe kutafsi maneno hafuatayo kwa lugha ya kiingereza: i. ASTASHAHADA. ii.STASHAHADA iii. SHAHADA iv. SHAHADA YA UZAMILI v. SHAHADA YA UZAMIVU Natanguliza shukrani
1 Reactions
7 Replies
78K Views
Ugonjwa unaoitwa " kidney Stone " je kwa Kiswahili ni Ugonjwa gani huu?? yeyote wa kusaidia tafadhali.
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Msaada wenu tafadhali
0 Reactions
53 Replies
21K Views
Kuna utata kidogo umejitokeza katika kuandika barua za Kikazi hasa upande wa kichwa cha habari. Mfano kampuni X inatangaza Nafasi kumi za kazi andika barua kuomba nafasi hizo Je Kichwa cha habari...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Maneno na Miundo ya maneno ya Kiswahili inayokanganya. Baada ya kuandika juu ya Asili na Chimbuko la Kiswahili katika Afrika Mashariki, nitaeleza kwa muhtasari matatizo yanayoikumba lugha hii...
3 Reactions
0 Replies
11K Views
Dar es Salaam. Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe amelitaka Baraza la Kiswahili la Taifa(BAKITA) kuongeza kasi ya kusimamia maendeleo ya Kiswahili Kimataifa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
TUIOMBEE AMANI Tumuombe maulana,amani yetu idumu Tushikane kuungana,amani isiwe ngumu Tusije kufarakana,nchi kaingia sumu Tuiombee amani idumu kwetu nchini. Amani ikitoweka,nani wa...
1 Reactions
2 Replies
574 Views
Lugha zilianza vipi, ni jambo ambalo halifahamiki. Labda rejea pekee ni kwenye Biblia na kisa cha mnara wa babeli. Hakuna anayejua hasa, Adam na Eva walizungumza lugha gani. Huenda ni vigumu kujua...
2 Reactions
5 Replies
6K Views
Habar wakuu,natanguliza shukran zangu kwenu wana jamvi.naomba kujuzwa maana ya nahau izi (1)kaa chonjo (2)kaa mkao wakula (3)omba radhi (4)piga mayowe . Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
11K Views
huu msamiati nimeanz kuusikia hivi karibuni lakini sijui maana yake ni nini wajuvi wa lugha, nifumbueni katika hili nini maana ya neno "viwatilifu"
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Back
Top Bottom