Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Mfanyakazi anaelipwa mshahara bila kufanya kazi anaitwa mfanyakazi hewa. Je? Mfanyakazi anaefanya kazi bila kuchukua mshahara anaitwa nani?
0 Reactions
15 Replies
2K Views
NIKO MWENYEWE KITANDANI. Barua hino sichane, tena situpe jaani, Kila siku uione, uipime kwa mzani, Saahu vitu vingine, si mahaba yetu hani, Japo mithili ya tone, yakukae mtimani, Nataraji...
0 Reactions
2 Replies
999 Views
Neno hili maarufu katika utawala wa Dr Magufuli lina historia ndefu sana. Neno hili lilitumika tangu enzi za Agano la Kale. Ukisoma kitabu cha Nabii Zakaria 13:3 utaona jinsi watu waliokuwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hudi huda adil haji. 1)mwanzo wa kale zamani,ni ngano za kilingeni. Kale sasa si thamani,kwa jamii za tumboni. Tungo tata matatani,manju bwana ulingoni. Hudi huda adil haji,zama zamu zamzam...
0 Reactions
2 Replies
964 Views
Salaam wakuu. Naomba kujuzwa maana ya maneno kutambua,kujua,kufahamu na kuelewa.Maana watu wamekuwa wakichanganya kwenye mazungumzo maneno haya na wakati mwingine kuleta tafrani.Mfano mtu anaweza...
0 Reactions
1 Replies
8K Views
binafsi huwa sipendi kusalimiwa au kusalimia SHIKAMOO. sababu kubwa ni historia ya neno lenyewe kuwa la enzi za utumwa "NIKO CHINI YA MIGUU YAKO" lakin ningependa kumsalimia kwa adabu...
0 Reactions
40 Replies
7K Views
MAAJABU YA AMBONI. 1)ni ya ajabu mapango,kwa mipango ya pangika. Na maajabu milango,iwezayo ingilika. Anza kufanya mpango,nawe uweze kufika Maajabu ya amboni,nawe enda tembelea. 2)shujaa...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Siku hizi katika lugha ya kimjini mjini kwa maana ya lugha isiyo rasmi umbea unaitwa ubuyu, ningependa kujua kwasababu gani umbea siku hizi unaitwa pia ubuyu?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MAJIPU BUBU. 1) Kwenye msiba wa mamba chura samaki na wamo. Wapo wakusoma namba,kambale changu na yumo. Kimya kupiga jaramba,bubu haoni mvumo. Yote ni majipu bubu,ngoja yaive uone 2) Jipu...
0 Reactions
0 Replies
578 Views
MUUNGANO WETU NA NENO. 1 Neno limeota meno, lajazua tafarani, Siyaoni mapatano, sote vipembe kichwani, Mwana ashikwe mkono, asipotee njiani, Halikidhi mahitaji, neno likiota meno. 2 Hakika...
1 Reactions
2 Replies
853 Views
NIJUA KAA LA MOTO. 1)Ni jivu linatutisha,vipi tunadhani moto. Ni figa lajisafisha,lije kutoa uoto. Ten linajing'arisha,liwe mweupe uroto Nijua kaa la moto,kumbe jivu la baridi 2)kumbe...
0 Reactions
0 Replies
707 Views
Kwa anaefahamu maana za maneno ya kiswahili anijuze.....kuabiri, marago, kupura, kutakabari.... Shukrani sana
0 Reactions
3 Replies
10K Views
Je wewe waweza kuzungumza kwa ufasaha lugha ngapi? Lugha mbili?(ya kabila lako na kiswahili?) Lugha tatu? (ya kabila lako, kiswahili na kiingereza?) Lugha nne? (ya kikabila, kiswahili, kingereza...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Unapojua ukweli, kisha sikiza urongo, Ni raha utakubali, kumsikiza mrongo, Mara lile mara hili, ushasoma lake lengo, Tulia mwanangu tuli, sijaribu toa nyongo. Mwana sikiza urongo, zingatia ilo...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
JESHI LA WABUGURUSI. 1)Awakarimu manani,mola wetu wa mbinguni. Awape nyingi imani,na amani za nyoyoni. Mzidi kumuamini,namumtie rohoni. Jeshi la wabugurusi,lisonge mbele zaidi. 2)makamanda...
1 Reactions
0 Replies
840 Views
Naomba kujifunza lugha ya Kinyiramba
0 Reactions
7 Replies
6K Views
1)natamani niseme,shida sheria bandia. Kama kivuli cha umeme,kesi watakupatia. Wakuone paka shume,eti tusi kuwambia. 2)natamani wajue,maisha kufikiria. Hata kama wajiue,hakuna wakuwaokoa...
0 Reactions
0 Replies
690 Views
Wanajukwaa la lugha naomba msaada wenu.. UWATU ni zao gani?
0 Reactions
0 Replies
6K Views
HONGERA MEYA JACOB, KAZI YAKO TWAIONA. Jacob ndugu kongole, kazi yako twaiona, Umetangulia mbele, usiku pia mtana, Upate neema tele, toka kwake subhana, Kazi yako twaiona, kongole kaka kongole...
2 Reactions
0 Replies
848 Views
Back
Top Bottom