Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Habari wana wa Nyerere? Hilo neno huwa linamaanisha nini? Maana watu wakiwa wanaongea utaskia kwa mfano wanasema haya ni mabasi ya mikoani, au...mizigo ya mikoani. Nk. Tabia hii IPO sana hapa...
1 Reactions
24 Replies
6K Views
Mtunzi mariama ba: Madhari:senegal hiki ni kitabu kina cho zungumzia ukombozi wa mwanamke katika jamii siyo tu katika nchi ya senegali bali dunia nzima kwa ujumla hivyo...
0 Reactions
10 Replies
17K Views
Naomba maneno yafuatayo mnisaidie kuniandikia matamshi yake kwa kihaya. NAKUPENDA SANA MPENZI WANGU, NAOMBA UNIOMBE RADHI KWA MANENO YAKO MABAYA ULIYONITAMKIA ILI TUWEZE KUWA PAMOJA. NA KAMA...
0 Reactions
10 Replies
16K Views
Waswahili wengi hufikiri kwamba hakuna maana halisi ya computer na badala yake wanatohoa neno hilohilo nakuandika "Kompyuta". Hivyo ni makosa maana halisi ya Computer ni neno "NGAMIZI" na kwa...
2 Reactions
17 Replies
63K Views
KASI YA MAGUFULI IMEWAPOTEZEA DIRA YA UKAWA. Tangu rais Magufuli aanze kututumikia kama rais amefanya mambo mengi na karibu mambo yote hayo yamekuwa yakipingwa na UKAWA. Rais alianza kufukuza...
7 Reactions
137 Replies
10K Views
WANGOJANI KUMUACHA? 1) Usichelewe kuacha, mpenzi anosumbua, Kiumbe mwenye makucha, midomo aibinua, Kiama usiku kucha, moyoni una ugua, Mpenzi ano sumbua, usisite kumuacha. 2) Akupe vilivyo chacha...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba kueleweshwa maana ya neno Ujasusi manake kuna Thread humu inaelezea ujasusi nnchini wengine tumetoka kapa, hili neno geni kwetu, au mwenye tafsiri yake kiingererza ili tuligoogle. Nashukuru.
1 Reactions
4 Replies
15K Views
MGENI KARIBU, JUISI YA PILIPILI. MWENYEJI: Karibu mzee Chali, ukaribie nyumbani, Uketi upige wali, upoze chango tumboni, Kisha tujalie hali, za wenzetu Kinondoni. Karibu wetu mgeni, juisi ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
WANGOJANI KUMUACHA? 1) Usichelewe kuacha, mpenzi anosumbua, Kiumbe mwenye makucha, midomo aibinua, Kiama usiku kucha, moyoni una ugua, Mpenzi ano sumbua, usisite kumuacha. 2) Akupe vilivyo chacha...
0 Reactions
0 Replies
927 Views
FARASI FUNGUA KAMBA. 1)Hauna kichwa farasi,vipi ikutese kamba. hujatafuta nafasi,mbona kichwa umefumba. Wa waza chanya na hasi,ama wacheza marimba. Farasi fungua kamba,hicho kiti karatasi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
PENZI JINI HATARI. 1.Penzi ni jini hatari, wa kutesa na kuua, Huzibeba zote shari, za kiangazi na mvua, Nina kuomba Qahari, miye asije niua, Mahaba yanizuzua, mtima wata ghururi. 2.Penzi mganga...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
PENZI JINI HATARI. 1 Penzi ni jini hatari, wa kutesa na kuua, Huzibeba zote shari, za kiangazi na mvua, Nina kuomba Qahari, miye asije niua, Mahaba yanizuzua, mtima wata ghururi. 2 Penzi mganga...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Tuipende lugha yetu
0 Reactions
0 Replies
738 Views
Je, Kuna neno moja kumaanisha "addiction" au "addict" kwa kiswahili? Kwa mfano ni kama mtu ambaye huwa anahitaji kilevi au kitu chengine sana na hawezi kataa kisaikolojia. Bado natafuta neno...
0 Reactions
8 Replies
17K Views
GO! presents: BEST Swahili Tutorials - MAKING SENTENCES (live from Tanzania) Source: growingopportunities youtube
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wapendwa wana-JF, Mimi siku hizi nimefikwa na wazo la kutengeneza tongue twisters, sasa ni mkusanyiko wangu kutoka mtandao lakini ziko rahisi mno. naomba tuchemsha bongo pamoja na kuziunda...
1 Reactions
4 Replies
6K Views
Wakuu naomba kujifunza lugha ya Kikurya. Kwa mwenye ujuzi na hili naomba atupie maneno ya kiswahili pamoja na tafsiri yake kwa kikurya au kinyume chake. Tupia maneno mengi kwa kadri uwezavyo.
1 Reactions
14 Replies
19K Views
Ikiwa mbuzi dume huitwa beberu, Kukudume huitwa jogoo, nk, Je huyo paka dume huitwaje?
0 Reactions
9 Replies
40K Views
Mende na kinyonga
0 Reactions
3 Replies
14K Views
Leo tujifunze lugha teule ya Kiswahili. 1. password- Nywila. 2. juice - sharubati. 3. chips - vibanzi. 4. PhD - uzamifu. 5. Masters - uzamili. 6. Degree - shahada. 7. Diploma - stashahada. 8...
3 Reactions
7 Replies
5K Views
Back
Top Bottom