Nimeisikia toka Chanel Ten...WASANII WA TANZANIA WANALALAMIKA KAZI ZAO KUIBIWA KINYUME CHA SHERIA....najiuliza kwa hiyo hawana tatizo wakiibiwa kadri ya sheria?
Habari zenu
Nimejitokeza hapa kujua jambo moja ambalo watanzania wengi wanalo
kuna dhana moja ambayo imejengeka kwa watanzania kuhusu lugha yetu
ya kiswahili na misemo, nahau na sentensi zake...
Wakuu,
Naombeni msaada wenu kwenye hili na ikiwezekana toeni ushauri wenu kwa huyu Bwn. Shigongo, kwangu kama nimepituka na Watunzi wengine wa hadithi na sinema za Kitanzania na kuzipa majina ya...
Kwanza habari zenu wadau.
Tukaribishane japo kwa pilau.
weekend ndio hii msijenisahau
Leo Naunga mkono tuu hoja zenu.
Siungi uongo bali ukweli tupu
Wacha tule vyetu hatutaki -----
Usidhani nami...
Napenda kuuliza kuna tofauti gani kati ya neno "marehemu" na "hayati"? Najua yote yana tumika kumtaja mtu aliye fariki ila juzi nikamsikia mtu ana sema aki taka angependwa kuitwa hayati na si...
Mapfue na ngima woose walekapo mkomu
Nereo mpfiagho namrasa lo inu walandesiyepfo.
Kupfa iho mboko, wakokiparambuya, na wakokiparamri, wawekundanyi na wakoiolandore na wakokio landenga...
1.Tanzania nchi yetu, yenye amani na upendo,
umoja mshikamano, watu wenye ukarimu,
ewe ni mwema mlezi, daima tutakulinda,
Tutunza amali zetu, nchi yetu istawi.
2.Jambo la kusikitisha ...